
Posted on 08 August 2012
Baada ya kufanya vizuri katika mauzo ya Blazers za aina ya ‘Single Button’, Fashion Designer Martin Kadinda ambaye pia ni Manager wa mrembo Wema Sepetu, sasa amekuja na ‘Vibunduki Shorts’.


Baadhi ya wasanii wanaong’arishwa na Martin kwa single button stuff ni pamoja na Diamond Platnum, Ommy Dimpoz, Hemedi P.H.D, Wema sepetu na wengine wengi.