“AGNES” NAYE KUZIWEKA PICHA ZA UTUPU ZA ‘SINTAH’ MITANDAONI…!!
09 August 2012

Posted on 09 August 2012

WAKATI bifu la wasanii Christine John ‘Sintah’ na Agnes Masogange likizidi kuchukua sura mpya kila kukicha, mwanadada Agnes amefunguka na kudai hata yenye ana baadhi ya picha za Sintah amabazo zinamuonesha akiwa na msanii mmoja wa muziki wa kizazi kipya wakifanya mapenzi amabazo walipiga pindi walipokuwa hotelini.

Kauli ya Agnes imekuja baada ya Sintah kudaiwa kuwa ndiye aliyetoa video yake ya utupu ambayo imekuwa ikisambaa kwenye mitandao kitu ambacho kimemfanya kupoteza heshima yake kwa jamii na watu wanaomzunguka.

Agnes aliongea na mwandishi wa DarTalk, alidai kuwa anafikiria kuzitoa picha hizo ambazo zinamuonesha Sintah akiwa mtupu chumbani ingawa anamuheshimu msanii ambaye yupo naye kwenye picha hizo kwani ni rafiki yake.

“Sintah ndiye alitoa video hizo na nitaendelea kumlaumu kila siku, lakini kama amefanya hivyo sawa ila ajue kwamba hata mimi nina picha zake za uputu ambazo alizipiga walipokuwa hotelini na msanii mmoja maarufu ingawa siwezi kumtaja jina,” alisema agnes.

Aliongeza kuwa baada ya kusambaa kwa picha zake kwenye mitandao alijikuta katika wakati mgumu kwani zimemdhalilisha kwa kiasi kikubwa, hivyo anapanga mashambulizi ya kulipa ili naye aweze kuonekana umbo lake hadharani kama alivyofanya kwake.

Kauli hiyo ya Agnes ilijibiwa na Sintah, ambae naye alidai kuwa hakuna mtu ambaye ana picha picha zake na anamshangaa Agnes kwa kuongea ishu hiyo kwani hakuna msanii yeyote wa kiume anayetoka naye kimapenzi.

“Sasa naona huyo mtoto ananitafutia makubwa mimi sitoki na msanii yeyote hapa Tanzania sasa inakuwaje anasema kuwa ana picha zangu za utupu, kama anazo sawa azitoe tu si anataka kunikomesha tutaoneshana tu,” alidai Sintah.

Tags , ,
< PREVIOUS POST
NEXT POST >
Most Read News

5 Comments

  1. tunechi says:

    where exactly is the video? of agness masogange

  2. Nelson says:

    Tutaishije bila maumbea ya town?

  3. yakin mbaga says:

    Mastar bongo waache mambo ya kuweka maungo yao ya siri nje iyo cio sanaa ila n kujiuza kwa mapedeshe

  4. Mwarami othman says:

    Wasanii wabongo mmezidi sasa mnafundisha nini jamii

  5. michael says:

    But all is life!


LEAVE A COMMENT

NOTE: To comment it is better that you have a gravatar account.
You can get a free gravatar account by clicking here.








SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!