PHOTOS: ELIZABETH MICHAEL ‘LULU’ AKIWA MAHAKAMANI JANA…!!
18 September 2012

Posted on 18 September 2012









Msanii wa filamu nchini Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiwa makakamani katika mahakama ya rufani, jana baada ya kusikilizwa kwa maombi ya upande wa jamhuri ya kuomba kupitiwa kwa uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar Es Salaam wa kukubali kufanyia uchunguzi umri wa msanii huyo.

Tags , ,
< PREVIOUS POST
NEXT POST >
Most Read News

13 Comments

  1. trager-j says:

    aisee wolper unapoteza ileile

  2. jackline says:

    Pole sana Lulu,ila mungu atakusaidia tu, usijali utaotoka tu.

  3. BADRU says:

    POLE SANA MDOGO WANGU ILA VUMILIA KILA KITU KITAKWISHA, MUOMBE MUNGU ATAKUSAIDIA.

  4. ZAITUNI says:

    POLE SANA MDOGO WANGU UTATOKA MUNGU YUPO PAMOJA NA WEWE

  5. Amidu Twalib says:

    Chochote ohenye mwanzo kina mwisho pole sana mungu atakusaidia

  6. adelqueen james says:

    mmh inasikitisha sana kwa lulu kufifka alipofika leo

  7. josephat kilangi says:

    duh…..! inasikitisha sana kwani kifo huwa ni mipango ya mungu lulu aachiwe huru jamani’
    Tusahau yote yalo pita.

  8. Kats says:

    Upo kwenye maombi yangu!

  9. omar says:

    Jamani wanachunguza umri wake kwani ni kilomita ngapi kutoka kisutu hadi kwenye ofisi ya vifo na vizazi huko muhimbili? tz kweli hakuna sheria.

  10. omar says:

    Naona ajbu sana lulu ambaye wanamuita ati ni muuaji wanamuonyesha hadharani mahakamani lakini Askari aliyemuua ndugu D Mwangosi kwa makusudi anafichwa uso na kuingizwa mahakamani kisirisiri loooh dhulma gani hiyo.

  11. PRINCESS says:

    AM XO XORRY MY THATS IS LYF BUT GODS BE WITH U ONE DAY YES

  12. zuwena mpandeni says:

    POLE SANA, BUT NDO MAISHA HAINA MMOJA M2 YEYOTE YANAWEZA KUMTOKEA.

  13. teresa says:

    wory out hayo yote maisha! mamy


LEAVE A COMMENT

NOTE: To comment it is better that you have a gravatar account.
You can get a free gravatar account by clicking here.








SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!