
Posted on 22 September 2012
Picha za utengenezwaji wa Video mpya ya Lady Jay Dee uliofanyika kwenye viwanja vya Lugalo Golf Club. Lamar, mmiliki wa Fish Crab ambae pia ndio Producer wa wimbo wa ‘Yeye’ ndio alihusika pia katika uchukuaji wa picha za video ya wimbo huo. Video inatarajiwa kuwa tayari wiki moja ijayo. [Source: Lady Jay Dee Blog]









