PHOTOS: WAREMBO WATAKAOWANIA TAJI LA MISS EAST AFRICA 2012 – MLIMANI CITY TAREHE 7 DECEMBER…!!
28 November 2012

Posted on 28 November 2012

Mshiriki kutoka Burundi

Warembo watakaowania taji la Miss East Africa 2012 wakiwa katika vazi la ufukweni, jijini Dar es salaam. Shindano hilo litafanyika tarehe 7 December 2012 (Ijumaa wiki ijayo), kwenye ukumbi wa Mlimani City, Dar es salaam.

Mashindano haya Yanaandaliwa na kumilikiwa na kampuni ya Rena Events Ltd na kudhaminiwa na TANAPA, Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro, Ethiopian Airlines, Seascape Hotel, Darlings Hair, Ako Catering, DTP, Satguru, na Clouds FM.



Rwanda



Tanzania



Kenya



Eritrea



Ethiopia



Uganda



Somalia

Tags
< PREVIOUS POST
NEXT POST >
Most Read News

One Response

  1. Pacifique Ndimurukundo says:

    That from Burundi must win


LEAVE A COMMENT

NOTE: To comment it is better that you have a gravatar account.
You can get a free gravatar account by clicking here.








SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!