BEAT DOWN “PARTY ANTHEMS ” @ SYNERGY LOUNGE OYSTERBAY – EVERY FRIDAY…!!
08 March 2013

Posted on 08 March 2013

Kila ijumaa ni siku ya shangwe, wadau wote wala bata mnakaribishwa usiku wa Beat down . Kutana na mandhari nzuri kwenye lounge ya kisasa na wajanja wa town Tujichanganye huku( dj bike wa radio one ) akisababisha na ngoma za ukweli.

Kiingilio ni elfu kumi (10,000) tu.

Tunaanza ile mida yetu ya saa 3 mpaka asubuhi.

tuko mtaa wa zambia na mkwawa . Kata kushoto baada ya kcb bank, nenda hadi Zambia ambayo ni kona ya pili kushoto alafu kata kulia mtaa wa mkwawa na Utatuona nyumba ya 5 kulia. Basi hiyo ndio maskani ya wajanja wa town. Karibuni.

Tags
< PREVIOUS POST
NEXT POST >
Most Read News

One Response

  1. Fredrick julius says:

    Wish all the best.


LEAVE A COMMENT

NOTE: To comment it is better that you have a gravatar account.
You can get a free gravatar account by clicking here.








SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!