Category | Beefs

06 May 2013

Msikilize Mkurugenzi wa Utafiti Na Maendeleo wa Clouds Media Group, Bw. Ruge Mutahaba akijibu tuhuma za msanii Lady Jay Dee

Bofya hapa kusikiliza
http://www.hulkshare.com/7pwvaaqai96o

02 May 2013

Gadan G Habash ambaye ni Meneja na Mume wa Mwanamuziki Lady Jay Dee

Akiongea na mtangazaji Dan Chibo wa TBC FM kupitia kipindi cha The Takeover haya ndio yalikuwa majibu ya maswali aliyoulizwa Gadna G. Habash

Ipi ni Kauli yako juu ya Wosia wa Lady Jay Dee…?

Gadna G: Ni maneno ambayo yametoka moyoni mwake na ni maneno [...]

01 May 2013

Watu wanashtuka mtu akiongelea kifo, Utafikiri hawafahamu fika kuwa kila nafsi itakionja, Kwenye maisha yangu nimepitia mambo mengi, magumu na mepesi.

Na bado naendelea ku experience mambo magumu zaidi kadri ninavyozidi kuwa mkubwa.

Siku za karibuni nimekuwa nikipigwa vita sana na watu wenye uwezo mkubwa kifedha , ki umri na hata wenye ukubwa wa connection katika hii [...]

21 April 2013

Baada ya kipindi kirefu cha kuongea kwa mafumbo dhidi ya wamiliki wa Clouds FM kuwanyonya wanamuziki nchini, mwanamuziki Judith Wambura ameendelea kuishambulia redio hiyo na leo Jumapili ameamua kuwachana  live  wamiliki wa redio hiyo.

Hizi ni baadhi ya tweets zake..

23 November 2012

MSANII wa bongo movie na musiki Frola Mvungi ameibuka na kudai kuwa ana majina 10 ya wabunge ambao tayari wameshatembea na Irene Uwoya na anaweza kumuanika wakati wowote atakapojisikia.

Wasanii hawa waliwahi kuwa katika bifu zito, lakini sasa linaonekana kuchukua sura mpya, ambapo inadaiwa kuwa Mvungi tayari ameshapanga kuyatoa majina hayo na anasubiri wakati muafaka ili aweze kuanika ishu [...]

09 August 2012

WAKATI bifu la wasanii Christine John ‘Sintah’ na Agnes Masogange likizidi kuchukua sura mpya kila kukicha, mwanadada Agnes amefunguka na kudai hata yenye ana baadhi ya picha za Sintah amabazo zinamuonesha akiwa na msanii mmoja wa muziki wa kizazi kipya wakifanya mapenzi amabazo walipiga pindi walipokuwa hotelini.

Kauli ya Agnes imekuja baada ya Sintah kudaiwa kuwa ndiye aliyetoa video yake ya [...]

30 July 2012

WASANII chipukizi wanaofanya vyema kwenye tasnia ya filamu bongo, Mariam Ismail na Esther Flavian, bifu lao limezidi kukua huku likiwa kubwa zaidi ambapo wote kwa pamoja wanadai kuwa hakuna anayetaka kukaa meza moja na mwenzake na kulitafutia ufumbuzi bifu lao lililodumu kwa takribani miaka miwili sasa.

Wasanii hao walikuwa wakifanya kazi pamoja lakini walikuja kutofautiana baada ya mmoja wao kuonekana akifanya [...]

01 July 2012

BAADA ya Irene Uwoya, kumzungumzia shiti mpenzi wake wa zamani H-Baba, mpenzi wa sasa wa msanii huyo Frola Mvungi, ameamua kuchukua jukumu hilo la kumjia juu Uwoya kwa kudai kuwa hana lolote zaidi ya kutaka kujirudi mpya.

Uwoya alikaliliwa kwenye kipindi kimoja cha Clouds FM akidai kuwa H-baba hajui mapenzi, na hana lolote linaloweza kumuumiza baada ya kuachana.

Hata hivyo kauli hiyo [...]

09 July 2011

BABY J FT GELLY WA RHYMES – DOMOKAYA (AT diss’)
[Audio clip: view full post to listen]

Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.

Page 1 of 212

SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!