Category | Behind the Scene

07 December 2011

Hii ni utengenezaji wa video mpya inayokuja ya msanii wa bongo fleva Diamond Plantinum wimbo unaojulikana kwa jina la Mawazo. Location hizi unazoziona kwenye picha ni maeneo ya Mbezi Beach huku akiwa anauza sura na gari aina ya Mercedes Benz SL500. Video imefanywa na Visual Lab Dir akiwa ni Adam Juma.

Video and Image Credit: DJ [...]

26 May 2011

DarTalk.Com

An Ultimate online resource that offers you daily dose of entertainment to keep you current on the latest news, photos, music, sports, fashion, and so much more!

DarTalk.com is being built around the idea that our city, its residents and businesses would benefit from a user friendly, informative entertainment news website.

The site is still relatively new. [...]

19 May 2011

Katika movie hii msanii Kajala ndiye anayecheza kama mpenzi wa Ramsey hivyo wasanii wengi location wamempa jina jina la Genevieve kutokana na kwamba Ramsey Nigeria movie nyingi hucheza na Genevieve Nnaji.
KWA HISANI YA KANUMBA THE GREAT

17 May 2011

UTENGENEZAJI wa video ya wimbo unaozungumzia miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika umeanza kufanyika leo katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam ikiwemo Uwanja wa Taifa, Kituo cha Utamaduni cha Watu wa Urusi na kwingineko.

Wimbo huo umetayarishwa na Marco Chali wa Mj Records na Lamar wa Fish Crab, kazi ya video inafanywa na [...]

11 May 2011

Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya Chidi Benz akiwa kwenye maandalizi ya video yake mpya inayokwenda kwa jina la “MASHALAAH” aliyomshirikisha mwimbaji wa miondoko ya Taarabu Mzee Yusuph(hayupo pichani). Video hiyo imefanywa na kampuni ya SHOWBIZ DEFINED MEDIA CO. Ltd. Chini Creative Director Eryne Epidu.

Kwa hisani ya Mo Blog

Page 1 of 11

SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!