Category | Bongo Movies

17 September 2012

BAADA ya mtandao huo kutoa siri ya ugongwa unaomsumbua masanii wa filamu na muziki Baby Madaha, sasa inadaiwa kuwa wazazi pamoja na ndugu zake wana mpango wa kumpeleka Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu makubwa zaidi kwani hali hiyo ikiendelea atashindwa kufanya kazi.

Msanii huyo wiki chache zilipita alianguka na kupoteza fahamu wakati akishuti filamu, na baada ya kufikishwa katika [...]

16 September 2012

Msanii wa filamu bongo anayefanya vizuri Thea, ameuambia mtandao wa DarTalk, kuwa hivi karibuni anatarajia kutoa filamu yake mpya inayokwenda kwa jina ‘Malaika Wangu’, ambayo kwa sasa ipo kwenye hatua za mwisho za editing.

Alisema kuwa filamu yake mpya ni kazi ambayo imefanyika kwa umakini mkubwa na wasanii wote waliocheza katika filamu hiyo wote wameonesha kiwango cha hali ya [...]

14 September 2012

MSANII wa filamu bongo ambaye ni mama wa mtoto mmoja Irene Uwoya, ameondoka nchini hivi karibuni kuelekea nchini Uingereza kwa ajili ya kufanya mazungumzo na kampuni moja ya filamu iyomilikiwa na raia wa Nigeria na Ghana ili aweze kufanya nao kazi ambayo itakuwa ya viwango vya kimataifa.

Ingawa wapo wasanii wengi ambao wanaenda nchini humo kwa ajili ya matembezi tu [...]

14 September 2012

MKURUNGEZI wa kampuni ya Tuesday Entertainment inayojihusisha na filamu pamoja na tamthilia Mr Chuzi amesema kuwa Jumatatu hii wanatarajia kuitoa rasmi tamthilia yao ya ‘Jumba la Dhahabu’ kwenye DVD ili mashabiki wazidi kupata radha zaidi huku wenyewe wakiendelea kushuti season ya pili.

Tamthilia hiyo iliweza kufanya vizuri na kuwatoa wasanii wengi ambao kwa sasa nao wanafanya vizuri, ujio huo utawafanya [...]

13 September 2012

MSANII anayeshikilia soko la filamu kwa kuwa na uwezo mkubwa wa kucheza scenes za mapenzi na hata zile za kijamii, Irene Uwoya, amedai mashabiki wake wengi wanamtaka acheze filamu moja na hasimu wake mkubwa Jackline Wolper, ila moyo wake haupo tayari kwani anaamini msanii huyo kiwango chake ni kidogo hivyo kwenye filamu anaweza kumtia hasara [...]

13 September 2012

WAKATI wimbi kubwa la wasanii wa bongo movie likikimbilia kufanya muziki, naye msanii anayeshika kasi kwenye filamu Snura, amesema kuwa anatarajia kuachia ngoma yaake ya kwanza inachokwenda kwa jina la ‘Shoga Ake Mama’, ambayo itakuja pamoja na video yake.

Akiongea na DarTalk msanii huyo alisema kuwa aina ya muziki anaofanya unafanana na mduara lakini analenga kufanya sebene kwani wasanii [...]

12 September 2012

MSANII wa filamu bongo ambaye anatarajia kufunga pingu za maisha hivi karibuni, Aunty Ezekiel, amewaomba radhi mashabiki wake baada ya picha zake zinazomuonesha umbo lake la ndani kusambaa kwenye mitandao, huku akidai kuwa alipigwa picha hizo akiwa amelewa sana.

Picha za msanii huyo zimechukua sura mpya kwenye mitandao mingi ya kijamii, ambapo picha hizo zinataka kufanana na zile za mwanadada [...]

10 September 2012

Baada ya kupatana kwa muda na kuwa marafiki sasa warembo wawili Sintah na Agnes, wametibuana upya kwa madai kuwa mmoja wao bado anaendeleza kinyongo kitu ambacho kinawafanya washindwe kuelewana.

Chanzo kimoja cha habari ambacho kipo karibu na Sintah kikiongea na mwandishi wa mtandao wa DarTalk kilidai kuwa ingawa walipatana lakini bado hakuna ukaribu wowote uliopo [...]

10 September 2012

Msanii wa filamu ambaye pia anafanya muziki Baby Madaha, amendoka gafla wakati akishuti filamu yake mpya na kupoteza fahamu ambapo sasa amelazwa kwenye hosptali Amana jijini Dar es Salaam, na habari zinadai kuwa msanii huyo anasumbuliwa na ugonjwa wa kuanguka.

Chanzo cha habari ambacho kipo katika hosptali hiyo kilidai kuwa msanii huyo kwa sasa huwezi kuzungumza kwani [...]

SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!