Category | Books

02 April 2012

MTUNZI wa vitabu na filamu bongo, Aunty Fifii, amesema kuwa kitabu chake cha ndoa kilichopewa jina la ‘Migogoro ya Ndoa na Suluhisho lake’, kinatarajia kuingia sokoni rasmi mwezi huu wa April mwaka huu kwa mujibu wa ratiba walizopanga ingawa tarehe kamili bado haijajulikana.

Akiongea na DarTalk, mtunzi huyo mwenye jina kubwa Tanzania na Afrika kwa ujumla, [...]

15 December 2011

MKONGWE katika tasnia ya filamu nchini Aunty Fifii anatarajia kuzindua kitabu cha ndoa ‘Migogoro ya ndoa na Suluhisho lake’ mwishoni mwa mwezi huu.

Alisema, kitabu hicho kwa sasa amekipeleka katika Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) kwa ajili ya kuhaririwa ndipo kiweze kuingia mitaani. “Nakamilisha taratibu zote ili kuweza kuhakikisha kitabu hicho kinakuwa na ubora kutokana na [...]

26 May 2011

DarTalk.Com

An Ultimate online resource that offers you daily dose of entertainment to keep you current on the latest news, photos, music, sports, fashion, and so much more!

DarTalk.com is being built around the idea that our city, its residents and businesses would benefit from a user friendly, informative entertainment news website.

The site is still relatively new. [...]

27 April 2011

NSANII Fid Q anatarajia kutambulisha rasmi kitabu chake alichokipa jina la ‘Swahili Kid’ (Mtoto wa Kiswahili). Ishu nzima itakamilika mwezi wa nane, ndani ya kitabu hicho Fid ameelezea na kushare experience yake kwenye game nzima ya muziki, tangu alipoanza mpaka alipofikia hivi sasa.

Page 1 of 11

SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!