Category | Breaking News

17 April 2013

Msanii mkongwe wa muziki wa taarab nchini, Fatuma binti Baraka ‘Bi. Kidude’ amefariki dunia leo hukovisiwani Zanzibar. R.I.P Bi Kidude.

26 November 2012

HABARI zilizotufikia hivi punde, zinasema kuwa msanii wa comedy, muziki na filamu Sharo Milionea amefariki dunia kutokana na ajali ya gari mkoani Tanga majira ya saa mbili usiku.

Kamanda wa Polisi mkoani Tanga, Constatine Masawe amekiri kutokea kwa msiba wa Sharo, baada ya kupata ajali akiwa barabara ya Segera, Muheza kijiji cha Lusanga. Kwa taarifa zaidi endelea kupitia [...]

07 April 2012

Marehemu Steven Charles Kanumba (pichani), enzi za uhai wake.

HABARI zisizo rasmi zinasema kwamba kifo cha Kanumba kimetokana ugomvi na mpenzi wake Elizabeth Michael maarufu kama Hot Lulu, kwamba marehemu alipokua anatoka bafuni kwa kujiandaa kutoka Ijumaa usiku wa kuamkia Jumamaosi kwenye saa 6 usiku alimsikia Lulu akiongea na mwananume mwingine kwenye simu ndipo ilipotokea purukushani [...]

26 May 2011

DarTalk.Com

An Ultimate online resource that offers you daily dose of entertainment to keep you current on the latest news, photos, music, sports, fashion, and so much more!

DarTalk.com is being built around the idea that our city, its residents and businesses would benefit from a user friendly, informative entertainment news website.

The site is still relatively new. [...]

06 May 2011

FILAMU iliyokuwa ikiitwa Shoga imeruhusiwa kuingia sokoni baada ya kubadilisha jina kutoka Shoga na kuwa “Shoga Yangu”, filamu ilisimamishwa na Bodi ya Ukaguzi wa Filamu kutokana  na matatizo yaliyokiuka maadili na utamaduni wa Tanaznia.

“Ni kweli filamu ya Shoga Yangu imeruhusiwa kutoka, baada ya kukaguliwa na kupewa daraja, filamu hii inaruhusiwa kutazamwa na watu kuanzia umri [...]

11 March 2011

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Khadija Shaban anayejulikana kama ‘KEISHA’ amejifungua mtoto wa kiume kwa njia ya upasuaji na kumpa jina la Jam Key.
———–
“Mamshukuru Mungu kwa kujifungua salama na kuweza kubeba dhamana ya kuitwa mama, hii itanifanya nizidi kujituma katika maisha yangu ili mwanangu aweze kuishi maisha mazuri hapo baadaye,” alisema KEISHA.
———-

Page 1 of 11

SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!