
Bendi ya maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU yenye maskani yake nchini Ujerumani ,inatoa salam za hongera na pongezi nyingi kwa wanahabari na vyombo vya habari vyote duniani, katika sherehe ya siku ya “uhuru wa vyombo vya habari” 3 Mai 2012,bendi hiyo inawapongeza wanahabari na vyombo vyao,kwa kazi muhimu [...]
Anatambulika kwa jina la Samir Khasim almaarufu kama Samir, msanii chipukizi wa muziki wa kizazi kipya kutoka mjini Morogoro aliyeanza muziki mwaka 2004 akiimba katika talent shows na mashindano mbalimbali ya muziki katika ‘club’ za muziki.
Mnamo mwaka 2004 alianza muziki na kutoka na single yake iliyokwenda kwa jina la “Nyamaza” aliyorekodia ndani ya Mamasa Records [...]
Msanii mkali wa Bongo Flava nchini anayejulikana kama Diamond Platnumz hivi karibuni amefunguka kuwa yuko mbioni kufungua duka la nguo maeneo ya Kinondoni jijini Dar Es Salaam. “Yote hayo ni matunda ya Bongo Flava” alisema Diamond
Msanii Mr Blue aka Bayser baada ya kujichimbia studio kwa muda sasa yuko tayari kutoa ngoma mpya itakayohusu bata za weekend. Nyimbo hiyo itakwenda kwa jina “Tilalilah” na itakuwa na mahadhi yaliyochangamka. Blue amefunguka kuwa ngoma mpya “wangu” aliyofanya na Lady Jay Dee ni sehemu ya maandalizi ya album yake mpya. Keep it locked!!!
DarTalk.Com
An Ultimate online resource that offers you daily dose of entertainment to keep you current on the latest news, photos, music, sports, fashion, and so much more!
DarTalk.com is being built around the idea that our city, its residents and businesses would benefit from a user friendly, informative entertainment news website.
The site is still relatively new. [...]
“I was having a bad hair day & decided to go to my stylist at LaCoupe & see what he did to my hair! I Loveeee It!!” Ally Remptullah
Hello fam! My album now is available on following shops..Street Soul (Oilcom Kijitonyama), Born 2 Shine (Mwenge), CP JEMBE ( Mwenge), CP JEMBE (Kinondoni) more places to be announced tomorrow. Plus am performing tonight at University of DSM Mr. and Miss UD event i will have my album there come see the show, come get [...]
Msanii Baby Madaha anatarajia kufinga ndoa hivi karibuni. Jina la anayemuowa bado halijapatikana ila inasemekana anaolewa na mtoto wa mwanasiasa maarufu hapa nchini.
“Ni kweli naolewa lakini mme mtarajiwa hataki mambo ya vyombo vya habari so ikifika muda muafaka tutatoa taarifa “ alisema Madaha baada ya kuhojiwa kwa njia ya simu
MSANII wa muziki na filamu Hemedi aka P.H.D ametangaza kutokujishughulisha na uigizaji kwa sasa, sababu kubwa ikiwa ni kutaka kurudi darasani. Pia anasema pamoja na kuwa album yake ilikamilika tangu mwaka 2010, ameamua kuiingiza sokoni mwezi wa sita mwaka huu.
Hemedi anaendelea kuweka wazi kuwa albam hiyo mara kwanza alipanga iitwe “brown colour” ..lakini kutokana na [...]