
Hii ni utengenezaji wa video mpya inayokuja ya msanii wa bongo fleva Diamond Plantinum wimbo unaojulikana kwa jina la Mawazo. Location hizi unazoziona kwenye picha ni maeneo ya Mbezi Beach huku akiwa anauza sura na gari aina ya Mercedes Benz SL500. Video imefanywa na Visual Lab Dir akiwa ni Adam Juma.
Video and Image Credit: DJ [...]
DarTalk.Com
An Ultimate online resource that offers you daily dose of entertainment to keep you current on the latest news, photos, music, sports, fashion, and so much more!
DarTalk.com is being built around the idea that our city, its residents and businesses would benefit from a user friendly, informative entertainment news website.
The site is still relatively new. [...]
The Making of All-Stars Music Video to Celebrate the 50 Years of Tanzania. All Artists dressed in UHURU & 50 – the Official Brand for the 50 Years of Tanzania Celebrations by Ally Rehmtullah & Vida Mahimbo.
From the left Vida Mahimbo, Dimo Debwe, Ally Rehmtullah
All Pictures courtesy of Dimo Debwe.
Mratibu wa shindano la Miss Universe Maria Sarungi akitoa utaratibu mbalimbali kuhusiana na shindano hilo mara baada ya warembo hao kuingia kambini leo katika hotel ya Golden Tulip jijini Dares Salaam, shindano hilo linategemea kufanyika mwishoni mwa mwezi huu lenye warembo 20 limedhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Baadhi ya washiriki wa shindano la Miss Universe wakiwa katika [...]
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Emmanuel Nchimbi akiongea na wasanii wa sanaa za ufundi, maonyesho na picha nyongefu (hawapo pichani) kuhusu umuhimu wa kazi zao kwa jamii katika ukumbi wa mikutano wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Ilala jijini Dar es Salaam. Kulia ni naibu waziri wa wizara hiyo Dk. Fenella [...]
Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Mhe. Dr. Emmanuel Nchimbi (MB) akizungumza leo na wasanii wote wa sanaa za muziki wa aina zote wakiwemo wa kizazi kipya, bendi, disko, asili, taaribu n.k. kuhusiana na mikakati ya kukuza na kuinua sanaa hiyo. Hapo kesho Mhe.Waziri anatarajia kukutana na kuzungumza na wasanii wa sanaa za filamu, [...]
UTENGENEZAJI wa video ya wimbo unaozungumzia miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika umeanza kufanyika leo katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam ikiwemo Uwanja wa Taifa, Kituo cha Utamaduni cha Watu wa Urusi na kwingineko.
Wimbo huo umetayarishwa na Marco Chali wa Mj Records na Lamar wa Fish Crab, kazi ya video inafanywa na [...]
Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya Chidi Benz akiwa kwenye maandalizi ya video yake mpya inayokwenda kwa jina la “MASHALAAH” aliyomshirikisha mwimbaji wa miondoko ya Taarabu Mzee Yusuph(hayupo pichani). Video hiyo imefanywa na kampuni ya SHOWBIZ DEFINED MEDIA CO. Ltd. Chini Creative Director Eryne Epidu.
Kwa hisani ya Mo Blog