Category | Comedy

16 October 2012

MCHEKESHAJI aliyeshika kasi katika fani ya comedy hapa Tanzania, Kitale, akiongea na DarTalk amesema kuchekesha ni kipaji na si kukurupuka, akitolewa utofauti kuwa scenes hizo si kama scenes nyingine za maigizo  ambapo mtu anaweza kufanya kwa kupewa maelekezo yaliyo kwenye makaratasi.

Asema kuwa watu wengi wanaamini kufanya comedy ni kazi rahisi ya kukaa mbele ya kamera lakini kumbe ni [...]

21 December 2011

MCHEKESHAJI wa kundi la Orijino Komedi, Mpoki amefunguka na kusema kuwa fani hiyo imeweza kumtoa kimaisha na anaishukuru kwa sababu ni moja ya kazi ambazo zimeweza kuonesha nyota katika maendeleo yake.

Alisema kupitia Komedi ameweza kujenga nyumba ya kuishi na kuwa na usafili wake vitu ambavyo awali hakujua kama angeweza kuvipata ingawa malengo yake yalikuwa ni [...]

03 August 2011

Mchekeshaji wa maarufu nchini kutoka kundi la Vuvuzela Entertainment, Evans Bukuku akifanya vitu vyake usiku huu kwenye shoo yake iliyofanyika kwenye kiota cha Sweet Eazy.

Mchekeshaji wa Vuvuzela Entertainment, Ray akiwavunja mbavu watu waliohudhulia shoo ya Evans Bukuku

Ray akiendelea kuvunja watu mbavu usiku huu kwa vichekesho vyake

Dogo Pepe wa Vuvuzela Entertainment akiwa mzigoni kwa kuwavunja mbavu [...]

22 July 2011

MCHEKESHAJI Mahiri wa Vichekesho Haji Salum almaarufu kama Mboto ameiambia FilamuCentral kuwa moja kati ya matatizo yanayowakabiri wasanii wa Komedi ni ukosefu wa Elimu ya darasani na Mtaani pia, akielezea kwa undani Msanii anasema kuwa pamoja na kuwa wao ndio wanaohitajika na jamii lakini bado wamekuwa wakionekana kama vile ni watu wasio na umuhimu katika [...]

22 June 2011

The only place in Dar that tells you all your problems, but has you laughing about them!!! Evans Bukuku and The Funny Bunch are back, bringing you live Standup Comedy like you’ve never seen!!!With new material and songs and lots of zawadis for open-mic people!! Coming to you only once a month, happening on Tuesday [...]

15 June 2011

Msanii na Muigizaji Maarufu wa Maigizo nchini Tanzania na Mmoja wanaounda kundi la Ze Comedy Show toka EATV, Dickson Makwaya aka Bambo, amepata ajali jana usiku pande za Kigogo Round About akiwa kwenye pikipiki aka bodaboda wakati anakwenda home kwake Kigogo-Darajani na waligongwa na daladala aina ya coaster na amevunjika mfupa wa paja na kupata [...]

26 May 2011

DarTalk.Com

An Ultimate online resource that offers you daily dose of entertainment to keep you current on the latest news, photos, music, sports, fashion, and so much more!

DarTalk.com is being built around the idea that our city, its residents and businesses would benefit from a user friendly, informative entertainment news website.

The site is still relatively new. [...]

Page 1 of 212

SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!