
KATIKA kile kilichoonekana kama wasanii wa Bongo Movies wana ‘aleji’ na kujisitiri miili yao, baada ya Wema Sepetu na Aunt Ezekiel, safari hii Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameanika sehemu zake za siri kweupe.
Mpaka sasa tuna picha zinazomwonesha Shilole ambaye kwa sasa amegeukia muziki wa mduara, akiwa jukwaani huku akionekana hana habari kabisa na kitu kinachoitwa staha [...]
WAKATI watanzania wakiwa wamechoka na matukio machafu yanayofanywa na wasanii kwa kuacha nyeti zao nje, tukio lingine kama hilo limetokea tena kwa msanii ambaye watu hawakutarajia Nakaaya Sumari ambaye naye ameamua kuziweka nyeti zake hadharani kwa kutovaa nguo ya ndani, kitu ambacho kimempa aibu nzito.
Tukio hilo limetokea hivi karibu wakati msanii huyo akiwa kwenye mahojiano na moja ya [...]
MSANII wa filamu bongo ambaye anatarajia kufunga pingu za maisha hivi karibuni, Aunty Ezekiel, amewaomba radhi mashabiki wake baada ya picha zake zinazomuonesha umbo lake la ndani kusambaa kwenye mitandao, huku akidai kuwa alipigwa picha hizo akiwa amelewa sana.
Picha za msanii huyo zimechukua sura mpya kwenye mitandao mingi ya kijamii, ambapo picha hizo zinataka kufanana na zile za mwanadada [...]
BAADA ya kuandamwa na skendo kibao za kutoka na vigogo kisura wa video za wasanii wa bongo, Agnes Gerald maarufu kama Agnes Masogange, ameonekana kwenye mkanda wa picha ya ngono ambao umesambaa mtaani huku ikiwa dili kwa watu wanaotaka kuona umbo la mwanadada huyo.
Mkanda huo unaomuonesha mwanadada huyo akiwa mtupu, huku utata mkubwa ukizunguka kujua ni kitu gani kilichosababisha [...]