
Uvumi ulionea kuhusiana na muunganiko wa mapenzi kati ya Diamond Platnum na DTV VJ Penniel kua ni wapenzi baada ya kusambaa kwa picha kwenye mitandao ya kijamii inayowaonesha wakiwa pamoja kitandani na kula bata sehemu mbalimbali.
Juzi Diamond alithibitisha rasmi kuwa kwa sasa anajivinjari shuka moja na mdada huy huyo kwa kupost picha ya Penny [...]
UJAUZITO wa msanii Shamsa Ford, umezidi kuleta matatizo makubwa ndani ya familia yake, kwani kwa sasa hataki kujihusisha na kitu chochote kwa madai kuwa anaumwa.
Mmoja wa wanafamilia ya msanii huyo aliyezungumza na DarTalk aliyejitambulisha kwa jina moja la Peter, alisema kuwa kitu kikubwa ambacho wamekuwa wakisumbuana naye ni uvivu kwani hata kufua nguo zake inakuwa [...]
MSANII wa muziki wa kizazi kipya Z-anto, inasemekana kurudi katika kundi la zamani la ‘Tip Top Conection’, lenye maskani yake Masenze Dar Es Salaam kwea ajili mazungumzo ya kama anaweza kufanya nao kazi.
Msanii huyo alikuwa ni mmoja ya nyota wa kundi hilo lakini aliamua kujitoa kutokana na sababu mbalimbali za kimaslahi.
Habari zilizopatikana kwa mmoja wa wasanii wa kundi [...]
MSANII wa bongo movie Jackline Wolper, amefunguka na kusema kuwa hakuna mwanamke anayeweza kumchukua au kutoka na mpenzi wake pengine yenye ndiye anayeweza kuwachukua mabwana zao ingawa hana tabia hiyo chafu.
Kufunguka kwa msanii huyo kumekuja, baada ya wiki chache zilizopita mtandao huo kutoa habari ya Aunty Ezekiel na Kajala, kutokuelewana baada mmoja wao kudaiwa kutoka na mpenzi [...]
Nyota katika tasnia cha filamu bongo Frola Mvungi amefunguka kuwa kwa sasa anafurahia maisha yake ya uchumba na mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Hamis Ramadhan Baba maarufu kama H. Baba kutokana na kumwelewa na kumsapoti kazi zake tofauti na awali ambapo aliwahi kuwa na mahusiano na wanaume wengi ambao hawakuwa wasanii, anasema kuwa ni mara chache [...]
DarTalk.Com
An Ultimate online resource that offers you daily dose of entertainment to keep you current on the latest news, photos, music, sports, fashion, and so much more!
DarTalk.com is being built around the idea that our city, its residents and businesses would benefit from a user friendly, informative entertainment news website.
The site is still relatively new. [...]
Mrembo Wema Sepepu aliyefanya mahojiano kwa njia ya simu na Zamaradi Mketema kupitia kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM kwenye segment ya Muvi Leo amekanusha uvumi ulioenea mitaani kuwa ameachana na mpenzi wake Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz.
Msanii nguli katika tasnia ya filamu Bongo, Irene Uwoya, alfajiri ya Mei 8, mwaka huu, alijifungua mtoto wa kiume katika Hospitali ya Regency iliyopo Upanga jijini Dar es Salaam.
Irene alifunga ndoa mwaka 2008 na mchezaji wa soka la kulipwa nchini cyprusHamad Ndikumana katika Kanisa la Mtakatifu Joseph, aliwahi kutoa kilio cha kusaka mtoto alipohojiwa na [...]
Msanii Baby Madaha anatarajia kufinga ndoa hivi karibuni. Jina la anayemuowa bado halijapatikana ila inasemekana anaolewa na mtoto wa mwanasiasa maarufu hapa nchini.
“Ni kweli naolewa lakini mme mtarajiwa hataki mambo ya vyombo vya habari so ikifika muda muafaka tutatoa taarifa “ alisema Madaha baada ya kuhojiwa kwa njia ya simu
Bifu kati ya Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na Bob Jonior a.k.a Rais wa Masharobaro sasa lafika mbele ya Sheria, Wema amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kinondoni kwa kosa la kumtukana Bob Junior.
Wema alikiri kutukana matusi hayo baada ya kuulizwa na hakimu kama mashitaka aliyosomewa ni kweli au si kweli. Kauli yake ilikuwa:- “Ni kweli nimemtukana lakini [...]