
In the Chicago Leg of the United Sounds Of Africa Concert Tour, The African Superstar Ice Prince, called Wakazi to the stage and he delivered a furious freestyle infront of the sold out crowd that left everyone amazed. They went on and performed Ice Prince’s smash hit song, “Oleku” together infront of the cheering crowd, which for certain had time [...]
This is a little piece of the performances at the Represent Africa show in Chicago at The Shrine. All the other artists were from Nigeria and Wakazi was the only one representing East Africa. Be on the look out for the performance video from the Halloween Show in Ohio where Wakazi shared the Stage with [...]
Mchekeshaji wa maarufu nchini kutoka kundi la Vuvuzela Entertainment, Evans Bukuku akifanya vitu vyake usiku huu kwenye shoo yake iliyofanyika kwenye kiota cha Sweet Eazy.
Mchekeshaji wa Vuvuzela Entertainment, Ray akiwavunja mbavu watu waliohudhulia shoo ya Evans Bukuku
Ray akiendelea kuvunja watu mbavu usiku huu kwa vichekesho vyake
Dogo Pepe wa Vuvuzela Entertainment akiwa mzigoni kwa kuwavunja mbavu [...]
Bongo Flavour star Ali Kiba entertaining Dar es Salaam residents at the official launch of Coca-Cola Open Happiness Caravan held at Mlimani City in Dar es Salaam July 16th 2011.
Source: Michuzi
Saturday 23rd July 2011 Arts in Tanzania presents an East African biggest event of the decade.The artists will play music 9:00PM – 02:00AM.
The two in one show whereby two Albums to be launched.The albums are “Haileweki” by Totoo Zebingwa (TZ) & “Vunja Winga” by Sharama (Kenya).
High profile Artists from Kenya and Tanzania to perform live [...]
Mshindi wa shindano la Mwendelezo wa Msimu wa Dhahabu na Serengeti Fiesta Freestyle Tanzania Raymond Shaban, akichana mistari kwa vina na madaha mara baada ya kutangazwa mshindi katika shindano hilo lililofanyika Coco Beach jijini Dar es salaam, ambapo wameshiriki wasanii mbalimbali kutoka mikoa kadhaa ya Tanzania ambayo ni Mbeya, Morogoro, Ausha, Mwanza, Tanga, Zanzibar na [...]
Kundi la Face 2 Face likiwa jukwaani likonesha umahiri wake wa kutaka kuibuka mshindi kwenye shindano la kumsaka mkali wa msimu wa dhahabu unaoendelea wa serengeti dansi la fiesta 2011, lililofanyika katika ukumbi wa New Maisha Club jijini dar, ambapo watu kibao walijitokeza kulishuhudia shindano hilo ambalo lilikuwa limejawa na msisimko mkubwa.
Kundi la Under Zone [...]