
KINARA wa filamu za kibongo Johari, ameuambia mtandao wa DarTalk, kuwa anatarajia kuitoa filamu mpya inayokwenda kwa jina la ‘Ramadhani Kareem’, ambayo itakuwa kama zawadi kwa mashabiki wake waliofunga mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
Wakati akiizungumzia filamu hiyo Johari, alidai kuwa ndani ya kazi kutakuwa na wasanii wengine kama Ray, Chuchu Hans, Lisa, na wasanii wengine kibao.
Alisema kuwa filamu hiyo itahusu [...]
Msanii wa filamu bongo Geofrey Kusila baada ya kufanyiwa sherehe ya kushtukiza na kimwana Salma Jabu ‘Nisha’, na baadaye ikidaiwa kuwa wao ni wapenzi, ingawa kwa upande wa Kusila anakunusha taarifa hizo.
Kauli ya kukanusha kwa Kusila, imekuja baada ya kuongea na mtandao wa DarTalk, ambapo alidai kuwa yeye ni mume wa mtu na hana mahusiano yoyote na Nisha.
Msanii huyo [...]
BAADA ya kuona matunda ya filamu yake ya ‘Love Me Or Love Me Not’, msani Rose Ndauka, ameumbia mtandao wa DarTalk, kuwa tayari ameshakamilisha vitu kibao vipya lakini zinazokuja soon ni ‘Upofu’ na ‘Special cover’ ambazo atacheza kama muhusika mkuu.
Ndauka kwa sasa amejikita zaidi kwenye kazi kwani malengo yake ni kufanya filamu zenye ubora, na anaamini akijihusisha kwenye mambo mengine anaweza [...]
WASANII kibao waliowahi kutamba na tamthilia ya ‘Jumba La Dhahabu’, ambao kwa sasa ndiyo wanafunika ndani ya bongo movie, wameungana tena pamoja baada ya mrefu kutoonekana kwenye kazi ya pamoja kutokana na kila mmoja kufanya filamu kivyake baada ya mafanikio waliyoyapata.
Akizungumza na DarTalk mkurungezi wa kampuni ya Tuesday Entertainment inayojihushisha na utengenezaji wa filamu na tamthilia Tuesday Kihangala [...]
NI wazee wachache wanaotamba katika tasnia ya filamu ndani ya Bara la Afrika, ambapo Mzee Chilo, ni miongoni mwao, ambapo amesema kuwa anaamini tasnia hiyo baada ya miaka 5 mbele itakuwa ghali sana kwani kadri siku na miaka inavyokimbia ndivyo thamani ya tasnia hiyo inavyoongezeka huku wasanii wake wakizidi kupata heshima kubwa.
Mzee Chilo anaamini kuwa tasnia hiyo itakafikia kipindi itakuwa ghali [...]
WAKATI wadau mbalimbali wa tasnia ya filamu na hii ya bongo fleva wakilalamikia vijana wengi kukimbia shule na kuingia kwenye tasnia hizo, msanii Christine John ’Sintah’, amesema kuwa angekuwa na uwezo yenye kama yenye angeruhusu watu kuigia katika tasnia hiyo ni wale wenye elimu ya chuo kikuu, au chuo cha sanaa kwani tasnia hizo hazichukuliwi kama kazi nyingine zinazohitaji [...]
BAJETI za wasanii wengi wa kibongo wanapotengeza filamu zao ni chini ya milioni 7, lakini msanii wa filamu bongo Jackline Wolper, inadaiwa kuwa ni nyota pekee anayetengeneza filamu kwa gharama kubwa kuliko msanii yeyote Tanzania.
Mmoja wa rafiki wa karibu na msanii huyo ambaye huwa karibu karibu upangaji wa bajeti katika filamu zake, aliyekataa kutajwa kwa jina lake, alidai [...]
BAADA ya kufunika ndani ya bongo na shoo zake kibao, sasa msanii wa ngoma ‘Dume Dada’, Zena Muhamed ‘Shilole’, amesema kuwa anatarajia kwenda nchi za Kiarabu kwa ajili ya kufanya shoo ambayo bado hajajua tarehe rasmi ya kuondoka nchini.
Kupata kwa safari hiyo kumetokana na aina ya muziki anaoufanya msanii huyo kwani unaendana na ule wa taarabu jina la [...]
MSANII wa filamu za kibongo Mariam Ismail, amesema kuwa baada ya kushirikishwa katika filamu kadhaa na kuonesha uwezo wa hali ya juu sasa anatarajia kuitoa kazi mpya inayokwenda kwa jina la ‘Apple’, ambayo itakuwa na nyota wengine kibao.
Akizungumza na mtandao huo msanii huyo alisema kuwa baadhi ya wasanii watakaocheza ndani ya filamu hiyo ni pamoja Baba Haji, Irene [...]
WAKATI wengine wakiukimbia muziki wa Hip Hop msanii anayetesa ndani ya bongo muvi, Badra, amesema kuwa anaamini muziki wa huo utamlipa kwani ana kipaji na uwezo mkubwa wa kufanya michano kuliko hata wale walio kwenye fani hiyo kwa muda mrefu.
Msanii huyo akiongea na DarTalk alidai kuwa tangu awali alikuwa akipenda sana muziki huo lakini alikuja kuachana nao na kujikita kwenye [...]