Category | Movies

28 November 2012

Waumini wa Kiislam wakiwa katika Ibada ya Kuuswalia Mwili wa Marehemu Hussein Ramadhan Mkieti a.k.a Sharo Milionea aliefariki kwa ajali ya Gari hivi karibuni huko Muheza, Mkoani Tanga.

Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Hussein Ramadhan Mkieti likiwasili Nyumbani tayari kwa Taratibu za Mazishi yaliyofanyika leo kwenye Kijiji cha Lusanga, Wilayani Muheza, Mkoani Tanga.

Udogo ukitupiwa kaburini

Muigizaji Maarufu [...]

28 November 2012
" width="550" alt=""/>

Official Video ya Bongo All Stars [Dayna, Rich Mavoko, Shilole, Barnaba, Canal Top, Muba C, Msafiri Shaban, Stamina, Suma Mnazaleti, Shadooh, Salma Dodoo, Dan Rock, C9, Seif, Kiri]. Nyimbo inaitwa ‘Kaza Moyo’ na audio imetengenezwa na C9 wa Kiri Records. Video imefanywa na Kwetu Studios ikiwa Directed by Msafiri Shabani.

27 November 2012

Gari aina ya Toyota Harrier lenye namba za usajili T 478 BVR alilokuwa akiendesha msanii wa filamu na muziki Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo Millionea’ kutoka jijini Dar es salaam kuelekea Kijijini kwao Lusanga Wilaya ya Muheza mkoa wa Tanga. Sharo Millionea alikufa papo hapo na mwili wake kuhifadhiwa Hospitali ya Teule Muheza Tanga.

Mbunge wa [...]

27 November 2012

KAMA ndoto lakini ndivyo hali ilivyo kwa nyota iliyojitokeza na kuonesha uwezo wake na kuzimika kama mshumaa, Sharo Milionea amezimika kipindi ambacho jina lake ndo linakuja kwa kasi zaidi kutokana na kazi zake za muziki na filamu.
Kifo cha msanii huyo kimetokea Jumatatu usiku kutokana na ajali ya gari jijini Tanga maeneo ya Muheza, wakati akielekea kijijini kwao, ambako [...]

27 November 2012

Mwili wa marehemu Sharo Milionea baada ya ajali mbaya ya gari iliyotokea mkoani Tanga.

Gari aliyopata nayo ajali.

Sharo Milionea, enzi za uhai wake.

26 November 2012

HABARI zilizotufikia hivi punde, zinasema kuwa msanii wa comedy, muziki na filamu Sharo Milionea amefariki dunia kutokana na ajali ya gari mkoani Tanga majira ya saa mbili usiku.

Kamanda wa Polisi mkoani Tanga, Constatine Masawe amekiri kutokea kwa msiba wa Sharo, baada ya kupata ajali akiwa barabara ya Segera, Muheza kijiji cha Lusanga. Kwa taarifa zaidi endelea kupitia [...]

25 November 2012

Marehemu John Maganga (pichani), enzi za uhai wake

WAKATI taratibu za bajeti juu ya msiba wa msanii John Maganga aliyefariki jana asubuhi zikiendelea Shirikisho la Filamu Tanzania ‘TAFF’, limesema kuwa wao watatoa sh mil 2.6, kwa ajili ya jeneza, kaburi usafiri na mapambo na vitu vingine vitakavyohusika katika maziko siku Jumanne, na tayari wameshaanza kutembeza bakuri ili kufanikisha upatikanaji wa [...]

24 November 2012

TASNIA ya filamu imepatwa na msiba mkubwa kwani imempoteza mmoja ya wasanii wake mahiri John Maganga, ambaye amefarika muda mchache asubuhi ya leo kutokana na kusubuliwa na Kongosho ugonjwa ambao wameungudua baada ya vipimo vilivyotolewa na madaktali.

Marehemu awali kabisa alikuwa akisumbuliwa na vidonda vya tumbo na ndiyo ugonjwa ambao ulikuwa ukihisiwa sana, lakini asubuhi ya jana hali ilibadilika na [...]

23 November 2012

MSANII wa bongo movie na musiki Frola Mvungi ameibuka na kudai kuwa ana majina 10 ya wabunge ambao tayari wameshatembea na Irene Uwoya na anaweza kumuanika wakati wowote atakapojisikia.

Wasanii hawa waliwahi kuwa katika bifu zito, lakini sasa linaonekana kuchukua sura mpya, ambapo inadaiwa kuwa Mvungi tayari ameshapanga kuyatoa majina hayo na anasubiri wakati muafaka ili aweze kuanika ishu [...]

SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!