KAMPUNI ya maji nchini Tanzania ya Umoja Pure Drinking Water, inatarajia kuwatanisha wasanii wote nchini kwenye tamasha lao kubwa litakalofanyika siku ya Jumamosi kwenye uwanja wa taifa wa burudani Dar Live.
Kampuni hiyo inazalisha maji kwa kiwango cha hali juu kulingana na ubora wa kimataifa, ambayo ndiyo watakayotumia kunywa wasanii wote siku hiyo kwa lengo la kukata kiu ili kuwapa [...]