Category | News & Topics

25 April 2011

SHINDANO la kumasaka mrembo wa kitongoji cha Miss Dar City Centre 2011, linazidi kupamba moto kutokana na purukushani za mazoezi yanayoendelea katika kambi yao iliyopo Lamada Hotel Ilala jijini Dar es Salaam.

25 April 2011

Mtangazaji aliyejipatia Umaarufu enzi za East Africa Radio/EATV hasa kipindi cha Friday Nite Live na sasa Magic FM, Dennis Busulwa aka Ssebo anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi huu jijini Dar Es Salaam. Ssebo anatarajiwa kufunga ndoa na Tahjir Siu aka TJ ambaye ni mtangazaji wa Television ya Channel Ten na Magic FM
KWA HISANI YA CHINI [...]

23 April 2011

Models wakipita jukwaani na mavazi ya ubunifu yaliyobuniwa na Kemi Kalikawe katika ufunguzi wa Onesho la STYLE MOTOMOTO katika Hotel ya Double Tree Jijini Dar es Salaam.

Mbunifu wa Mavazi Kemi Kalikawe na mmoja wa Models aliyevaa ubunifu wake.

Models na mavazi ya ubunifu kutoka kwa Irene Kiwia a.k.a RENEEPHOEBE.

Irene Kiwia

Models na mavazi ya ubunifu kutoka kwa [...]

23 April 2011

DULAYO FT D-KNOB – SUPER STAR
[Audio clip: view full post to listen]

Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.

20 April 2011

Pichani toka kushoto ni Charz Stunner (Meneja wa wakacha), Gigga Flo, Ric Boi, Cyrill a.k.a Kid Cyrill, Pacho a.k.a Pancho Latino ( Mpishi mkuu wa Wakacha toka pande za B-Hitz), Jux na Nas 3

20 April 2011

Tundanga alifunguka kuwa jina hilo aliitwa na mshikaji tu kitaani na kulizimia, So fans wake kwa sasa wa wamuitwa Tundanga, ambaye kwa sasa yuko Studio ya AM Records chini ya Producer Maneke akipika kutu chake kipya Starehe Gharama!
Tundanga alisema kuwa ameamua kufanya kazi na Maneke coz ndiye aliyemtoa na track yake iliyotamba sana kitambo ya [...]

20 April 2011

MSANII H-Baba kwa sasa ameamua kufanya mziki wa kimataifa zaidi. Amesema hivyo baada ya kutoa video yake mpya inayokwenda kwa jina la “Shika Kichwa” ambayo imekaa kaa ki Congo zaidi na kibongo.
“Kwa sasa nataka show za mbali sana, so kama kuna wadau ambao wako mbali na Tanzania nazungumzia africa hii au nje ya africa kwa [...]

18 April 2011
" width="550" alt=""/>
Page 5 of 1312345678910...Last »

SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!