Category | Parties

20 December 2011

All Photos courtesy of gongamx.com

31 July 2011

Mwanamuziki Ludacriss akitumbuiza jukwaani usiku wa jumapili kwenye viwanja vya lidaz Club, katika tamasha la Serengeti Fiesta 2011 ambalo kwa sasa limetimiza miaka 10 tangu kuanzishwa kwake. Tamasha hili limeandaliwa na kampuni bingwa ya burudani hapa nchini, Prime Time Promotions kwa kushirikiana na Clouds FM, huku mdhamini mkuu wa tamasha hilo ikiwa ni kampuni ya [...]

24 July 2011

Bongo Radio and FunkHouse Entertainment did their annual party in Chicago which included the performances by Wakazi and Gwaii, and also a Fashion Show by African Models, showing cultures of one of the local Chicago designers. Prior to the evening event, people enjoyed a “barbeque at the beach” event where everyone met and enjoyed the [...]

09 July 2011

Majaji wakiwa mezani pao wakati wa fainali za kucheza za Kimwana wa Twanga Pepeta 2011 katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es salaam. Mshindi alikuwa Mary Khamis, wa pili alikuwa Laila Mshana wa tatu walikuwa Hawa Miraji na wa nne Mariam Mwakyoma

Wanenguaji wa Twanga wakipumzika baada ya kupepeta

Jaji mkuu wa mpambano huo Papaa [...]

30 June 2011

Mtoto wa Irene Uwoya anayejulikana kwa jina la Krish Hamad Ndikumana ametimiza siku 40 na kufanyiwa sherehe kubwa nyumbani kwa msanii huyo Mbezi Jogoo. Baba mzazi wa mtoto huyo Hamad Ndikumana alikuwepo siku hiyo katika sherehe hiyo iliyohudhuriwa na wasanii wengi.

Irene akiwa na Wageni waliofika siku hiyo

Irene Paul, Irene Uwoya na Skyner

Wazee wakiwa wameshika Krish

Mc [...]

20 June 2011

All Photos courtesy of Gongamx.com

Page 1 of 3123

SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!