Category | Photos

04 May 2013

Pichani ni video vixen wa bongo Agnes Gerald almaafuru kama Agnes Masogange.

24 April 2013

Ile Safari ya kumpata mrembo wa Miss Tanzania 2013 inaanzia na Miss Dar Indian Ocean. BHitz group Ltd inakuletea Redds Miss Dar Indian Ocean. Mashindano haya yamepangwa kufanyika jumanne, April 30 kwenye ukumbi wa National Museum, na yatashirikisha warembo 11.

Washiriki wa mwaka hu ni Lilian Samson Lungwa (19), Khadija R. Zandaro (19), Queen J. Mahwera (20), Flora Juma (20), [...]

07 April 2013

Lulu akiwa na mama yake mzazi leo walipo tembelea kaburi la marehemu Steven Kanumba ikiwa ni mwaka mmoja toka amefariki

Shada la Maua likiwekwa kaburini hapo

Wakimuombea Marehemu Steven Charles Kanumba

Mama Kanumba akisaidiwa kuweka shada la maua

Lulu akiendelea kumlilia Kanumba huku Mama Kanumba akiweka shada lake la maua kwenye kaburi la mwanae.

Lulu akiwa katika picha ya pamoja na [...]

31 March 2013

Pichani Ben Pol, G-Nako, Lord Eyes, Nisher na Ras Omega wakiwa ndani ya Maskani ya River Camp Soldier Arusha.

G-Nako

Ben Pol

Nisher ambaye ndio director wa Video hiyo

Page 1 of 1912345678910...Last »

SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!