
The Shooting of the video took two days and was done in various locations in the city of Chicago. Look forward for the video to drop in several weeks to come. Weekend is a collaborative work put together by Reezon (Ghana) featuring Wakazi from Tanzania, and Chibbz from Nigeria. The Beat was produced by the super Producer Mobeatz [...]
Miss World Africa mwaka 2005 na Miss Tanzania mwaka huo huo, Nancy Sumari (pichani) jana alizindua Kitabu chake kiitwacho ‘Nyota Yako’, ambacho ni Kitabu cha simulizi inayohadithia mafanikio na uwezo wa wanawake tofauti wa Kitanzania wanaoonyesha jitihada na upekee unaolenga kumhamasisha mtoto wa kike kwenye jamii kutaka kuota ndoto kubwa na kudhubutu kuyafanikisha yale ayawazayo.
Mgeni [...]
Cha kushangaza ni kwamba picha hii haimpi shida wala aibu, yeye anadai kwamba picha hii aliipiga wakati wakirekodi filamu ya ‘One Blood’ ya Tino.
CEO wa Endless Fame Films, Wema Sepetu amelazimika kujisamilisha kwa daktari wa meno baada ya ulaji wa chocolate kumponza na hivyo kuozesha baadhi ya meno yake.
Kupitia mtandao wa Instagram, Miss Tanzania huyo wa zamani, ame-share picha akiwa kwenye clinic ya meno kung’oa jino lililokuwa likimsumbua. “Apparently I have 8 cavities….. oh god… does this mean [...]