
Mwili wa marehemu Sharo Milionea baada ya ajali mbaya ya gari iliyotokea mkoani Tanga.
Gari aliyopata nayo ajali.
Sharo Milionea, enzi za uhai wake.
Mgeni Rasmi katika Onyesho la Khanga za Kale,Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jisnia na Watoto,Mh, Sophia Simba akisoma hotuba yake fupi wakati wa kufungua rasmi Onyesho la Mavazi ya Khanga za Kale linaloratibiwa na Mamaa wa Mitindo,Asia Idarous Khamsin (kushoto) chini ya Kampuni yake ya Fabak Fashion.Onyesho hilo limefanyika usiku huu katika Hoteli ya Serena,Jijini [...]
Jumla ya wanamitindo kumi na mbili wamechaguliwa kuingia katika shindano la kusaka Unique Model of the Year – 2012 ambapo usaili huo ulifanyika katika Hoteli ya Lamada jumapili. Wanamitindo hao ni Elizabeth Petty, Phina Revocatus, Amina Ayoub,Vivian Gilbert, Mwanaidi Mokitu, Elizabeth Boniface, Magreth M safiri, Berther Beson, Jennifer Njabili
Wadau kadhaa wakimpa pongezi mkurugenzi wa shindano [...]
Redd’s Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred (katakati) akiwa na mshindi wa Pili, Eugene Fabian (kushoto) na Mshindi wa Tatu, Edda Sylvester (kulia) mara baada ya kutangazwa mshindi.
Miss Tanzania aliyemaliza muda wake Salha Israel, kabla ya kukabidhi taji.
Mshindi wa Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred akifurahi mara baada ya kutangazwa.
Tano bora kwenye picha ya pamoja.
Mshindi akikabidhiwa funguo ya gari [...]