Jackline Wolper (kulia), akipokea cheti cha ushindi kutoka kwa DK. Cheni aliyekuwa jaji mkuu wa shindano hilo. Wolper akiwa ameshikiria cheti chake muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi. Dok. Cheni akiwa kwenye pozi na Wolper juu ya jukwaa.
Chidi Benz aka Chuma aliporomosha burudani
Msanii Ommy Dimpoz akipagawisha mashabiki
Kulikuwa na mashindano ya watoto pia
MSANII wa [...]
Ngoma imefanyikachini ya producer KGT ndani ya G Records. Video shooting imefanyika chini ya kampuni mahiri ya Visual Lab Next level inayomilikiwa na Adam Juma.
Photo Credit: Nuru The Light
WIKI kadhaa zimepita baada ya picha za msanii Rayuu zilizokuwa zinaonesha tattoo kuvuja mitandaoni, safari hi hali imekuwa mbaya zaidi kwani picha nyingine zinazoonesha matiti yake zimenaswa na DarTalk na mwenyewe alipotafutwa kuelezea alibaki mdomo wazi na hajui ni mtu gani anayezisamabaza.
Baadhi ya picha za chafu za Rayuu zilizosambaa mitandaoni.
Rayuu amedai kuwa hajui lolote kwani picha hizo [...]
Tanzanian super model, Flaviana Matata,who is based in New York and currently works in Paris, Milan, London, New York, Los Angeles and Miami, she has been doing so well this year ,she is now signed with one of the biggest modelling agency in New York, NEXT Models, so when she came back home for few [...]
Flaviana Matata has blazed trails as a Tanzanian beauty since the day she first set foot on the pageant stage to represent her native country back in 2007.
At the time, not only was she the first to win the premiere edition of the Miss Universe Tanzania, but she was also the first to ever compete [...]
Mshiriki wa Redd’s Miss Tanzania 2012, Mary Chizi ndiye alieibuka kidedea leo katika mashindano ya Michezo mbali mbali iliyowashirikisha warembo wote wa mashindano hayo ambapo yeye ameweza kuwa kinara katika michezo mitatu mfululizo ukiwemo wa kuogelea. Mary Chizi anaungana na wenzake wawili walioshinda mataji ya Miss Photogenic (Lucy Stephan) na Top Model (Magdalena Roy) ambao [...]
Washiriki wa Redds Miss Tanzania 2012 wakiwa katiak picha tofauti tofauti wakati wakiwa katika eneo la Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro.
Warembo wakizungumza na mmoja wa Wasaidizi wa watalii wanao panda mlima Kilimanjaro.
Baadhi ya warembo wakipiga picha na baadhi ya viongozi wa Kamati ya Miss Tanzania
Warembo wakizungumza na mmoja wa Wasaidizi wa watalii wanao panda mlima Kilimanjaro.
Picha [...]