Category | Photos

23 May 2012

Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania kupitia kampuni ya Lino Ntenational Agency, Hashim Lundenga, akizungumza na baadhi ya washiriki wa shindano la Redds Miss Kurasini jana wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika Ukumbi wa Equator Grill jijini Dar es Salaam. Redds Miss Kurasini imedhaminiwa na Naeems Wear , wauzaji wakubwa wa nguo za aina zote jijini [...]

21 May 2012

Mchezaji wa mpira wa Kikapu, Hasheem Thabeet, akipita jukwaani na vazi la asili kwa mikogo,  wakati wa hafla ya maadhimisho ya kusherehekea kutimiza miaka miwili ya Taasisi ya Tushikamane Pamoja Foundation, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diambond Jubilee, jumapili Mei 20, 2012

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi [...]

18 May 2012

Mtangazaji wa kipindi kipya ‘Mboni Show’, Bi. Mboni Masimba kinachotarajiwa kuruka hivi karibuni katika televisheni ya EATV akiongea na waandishi wa habari juu ya kuanza kwa kipindi chake. Pembeni yake ni msimamizi wa kipindi hicho Bw. George Tyson na msimamizi wa vipindi vya EATV. Kipindi hichi cha Mboni Show dhima yake ni kuburudisha, kuelimisha, kufundisha, [...]

17 May 2012

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Multichoice Tanzania, Barbara Kambogi (kushoto) akiongea mchana huu kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Southen Sun, Jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa Washiriki wa Big Brother Afrika (Julio na Hilda walio katikati) na Waandishi wa Habari. Kulia ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Multichoice Tanzania, Furaha Samalu.

Washiriki [...]

11 May 2012

Miss Ukonga 2012, Elizabeth Peter (katikati) akitabasamu kwa hamasa muda mfupi baada ya kuvalishwa taji la kitongoji hiko,mshindi wa pili ni Marry Chizzi (kulia) na mshindi wa tatu ni Stellah Moris (kushoto).

Warembo wakitumbuiza kwa show ya kudance ikiwa ni hatua ya awali ya ufunguzi wa shindano hilo, mwishoni wa wiki .

Jumla ya [...]

07 May 2012

Wanamuziki wa Kalunde Band wakitumbuiza kwa staili ya kiduku, halfla iliyofanyika jana usiku katika hotel ya JB Belmont Hotel iliyopo katikati ya jiji la Dar.

Wachezajiwa Azam FC walipata vyeti na nishani za utumiaji bora vipaji vyao ikiwa mchezaji mwenye nidhamu, mchezaji aliedumu katika kiwangi msimu mzima, mfungaji bora, mchezaji shupavu n.k.

Vijana kutoka India waliokuja Tanzania [...]

30 April 2012

Baadhi ya warembo wanaowania taji la Miss Ukonga 2012 wakiwa katika pozi.

Mmoja wa washiriki akiwaonyesha wenzake pozi la kusimama.

Washiriki wakisikiliza kwa makini.

Lundenga akiongea jambo kwa washiriki.

Salha Israel (wa pili kulia) akiongea.

Warembo wa Ukonga wakiwa katika picha ya pamoja.

Mashindano ya kumtafuta Miss Ukonga 2012 kitongoji cha jijini Dar es Salaam, yanendelea kwa kasi katika Ukumbi maarufu [...]

23 April 2012

Warembo wanmaotarajia kuwania umalkia wa mashindano ya Miss Chang’ombe 2012, wakiwa katika mazoezi ya awali jana kwenye viwanja vya Hoteli ya Lamada, Dar es Salaam.

Mwalimu wa warembo hao,Vumilia Willbrod akiwaelekeza jinsi ya kusimama walipokuwa wakipiga picha ya pamoja wakati wa mazoezi hayo.

Mratibu wa mashindano hayo, Thom Chilala (kushoto), akitoa somo kwa baadhi ya warembo [...]

23 April 2012

Mtuhumiwa wa kesi ya mauaji ya aliyekuwa msanii wa filamu, Steven Kanumba, Elizabeth Michael  “Lulu” akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo. Msanii huyo anatuhumiwa kuhusiana na kifo cha msanii nguli wa filamu nchini, marehemu Steven Kanumba.

Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiongozwa na Askari Magereza kuingia ndani ya gari baada ya kutajwa [...]

SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!