
Shabiki wa Yanga ambaye jina lake halijapatikana alikatwa kidole baada ya jazba kati ya washabiki wa timu za Yanga na Simba zilizopelekea Mashabiki hao kuchapana makonde leo kabla ya mechi kuanza. Tukio hilo lilitokea katika eneo la Mwembe Yanga.
Timu ya Yanga imeonyesha ubingwa kwa kuichapa timu ya Simba mabao 2 kwa 0 huku vituko na [...]
At Kipingu’s School Lord Barden Powell High School, School Director Col. Iddi Kipingu, Hasheem, Magesa and another tallest player in the country Julias Charles who is a student at Kipungu’s school.
Hasheem talking to students at Lord Barden Powell High School.
TBF Officials Magesa and Maluwe, Hasheem Thabeet and US Cultural Affairs Officer Ms. Dana Banks at [...]
Wanamuziki wa Kalunde Band wakitumbuiza kwa staili ya kiduku, halfla iliyofanyika jana usiku katika hotel ya JB Belmont Hotel iliyopo katikati ya jiji la Dar.
Wachezajiwa Azam FC walipata vyeti na nishani za utumiaji bora vipaji vyao ikiwa mchezaji mwenye nidhamu, mchezaji aliedumu katika kiwangi msimu mzima, mfungaji bora, mchezaji shupavu n.k.
Vijana kutoka India waliokuja Tanzania [...]
Mwisho wa pambano la ubingwa wa IBF kati ya Francis Cheka na Mada Maugo leo limeoneshwa rasmi gari watakalogombania Aprili 28 mwaka huu katika ukumbi wa PTA, Dar es Salaam.
Pambano hilo linatarajiwa kuwa katika uzito wa kg 75 la raundi 12 la Kimataifa ambapo linatarajiwa kuwa chini ya Kamisheni Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania [...]
Makamu Mwenyekiti Simba SC , Geofrey Nyange (wa pili kushoto) akizungumza mbele ya wanahabari (hawapo pichani), kuhusiana na klabu ya soka ya Simba kuingia mkataba na kampuni ya Prime Time Promotions Ltd unaohusiana na Promosheni na Masoko (Promotion and Marketing) kwa ajili ya mechi ya Kombe la Shirikisho (CAF) kati ya Simba na Kiyovu Sport [...]
KATIKA shamrashamra za kutwaa Kombe la Kagame, uongozi wa Klabu ya Yanga ukishirikiana na mwanamuziki nyota wa kike, Judith Wambura ‘Lady Jaydee au Jide’ leo wameandaa tafrija fupi ya chakula cha jioni katika mgahawa wa Nyumbani Lounge huku wadau wakiwachangia sh milioni 40.
Mbali ya wadau hao waliokunwa na ushindi huo kuchanga fedha hizo, pia uongozi [...]
Wachezaji wa timu ya Netiboli ya CMTU wenye jezi nyekundu wakichuana na timu ya wanafunzi wa zamani waliowahi kusoma katika shule za Makongo na Lugalo, katika bonanza la wanafunzi waliosoma katika shule hizo lililofanyika jana, kwenye viwanja Leaders jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na wanafunzi wa sasa pamoja na walimu wa shule hizo.
Msemaji wa [...]
BASKETBALL team AND1 from the United States of America showed their country’s superiority in basketball when they beat Dar es Salaam All Stars 110-69 in a sensational friendly match played at Leaders Club in Dar es Salaam over the weekend.
The well-attended match started on a quick note with AND1 exhibiting their basketball prowess to [...]
BARAZA la Michezo la Taifa (BMT) limehimiza wadau wa mpira wa meza nchini kuendelea kujitokeza kwa wingi kuchukua fomu za kugombea uongozi wa nafasi mbalimbali katika chama cha mchezo huo.
Ofisa michezo mwandamizi wa BMT, Mohamed Kiganja, alisema kuwa hadi sasa wamejitokeza wagombea wawili ambao ni Felix Maganjira anayewania nafasi ya mwenyekiti na Abbas Mbonga anayewania [...]