Category | Sports News

17 June 2013

Mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia, Kundi C, Kanda ya Afrika kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Ivory Coast (The Elephants) iliyochezwa jana (Juni 16 mwaka huu) imeingiza sh. 502,131,000 kutokana na watazamaji 57,203.

Tiketi za kushuhudia mechi hiyo ziliuzwa kwa sh. 5,000, sh. 7,000, sh. 10,000, sh. 15,000, sh. 20,000 na sh. 30,000.
Mgawanyo [...]

18 May 2013

Shabiki wa Yanga ambaye jina lake halijapatikana alikatwa kidole baada ya jazba kati ya washabiki wa timu za Yanga na Simba zilizopelekea Mashabiki hao kuchapana makonde leo kabla ya mechi kuanza. Tukio hilo lilitokea katika eneo la Mwembe Yanga.

Timu ya Yanga imeonyesha ubingwa kwa kuichapa timu ya Simba mabao 2 kwa 0 huku vituko na [...]

22 April 2013

Tunapozungumzia watanzania waliozaliwa na vipaji na kufanikiwa kuvipigania na kuviendeleza vipaji hivyo hadi kufikia kiwango cha kimataifa jina la Sensei Rumadha Fundi aka Romi hatuwezi kulikwepa, mtanzania mwenye makazi yake nchini marekani, kabla ya
kujikita kule marekani alikuwa moja ya wanafunzi wa karate pale Zanakaki, Dar chini ya mwalimu wake Sensei Natambo Guru Kamara Bomani (RIP), baada ya hapo akaenda [...]

25 August 2012

Jina: AikaRose Mwasha
Jinsia: Kike
Miaka: 12
Utaifa: TANZANIA
Mchezo: Taekwando
KILO: 28 kg- beginners FEMALE
Club: Nong Jang
Makazi: Leuven Belgium
MAFANIKIO: Medali Ya Fedha & Dhahabu

Kijana wa kitanzania mwenye ndoto ya kuwakilisha nchi yake kwenye mashindano ya kimataifa hapo usoni kwa kupitia mchezo wa mbinu za kujihami wa ‘Taekwando’ ,anamapenzi makubwa na mchezo huu aliouanza angali mdogo akiwa na umri [...]

12 July 2012

According to reports, former No. 2 overall draft pick Hasheem Thabeet has agreed to a fully-guaranteed two-year contract with the Oklahoma City Thunder.

The 7’3” center can officially sign his new deal on July 11, when the league’s moratorium ends.  The terms were not disclosed, but it is suspected he will receive a minimal salary, or [...]

06 June 2012

Juni 6, 2012
Tanzania imepanda kwa nafasi sita kwenye orodha ya viwango ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) iliyotolewa leo (Juni 6 mwaka huu) na shirikisho hilo.

Kwa viwango vya Mei mwaka huu, Tanzania ambayo timu yake ya Taifa (Taifa Stars) inadhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager ilikuwa namba 145 hivi sasa imefika nafasi ya [...]

02 June 2012

At Kipingu’s School Lord Barden Powell High School, School Director Col. Iddi Kipingu, Hasheem, Magesa and another tallest player in the country Julias Charles who is a student at Kipungu’s school.

Hasheem talking to students at Lord Barden Powell High School.

TBF Officials Magesa and Maluwe, Hasheem Thabeet and US Cultural Affairs Officer Ms. Dana Banks at [...]

17 May 2012

PATRICK Mutesa Mafisango (32), mchezaji tegemeo wa Simba SC amefariki dunia jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo katika eneo la Keko jirani na Chuo cha VETA jijini Dar es Salaam.

Mafisango alikufa kutokana na ajali iliyotokea wakati gari alilokuwa akiendesha lilipogonga mti ulio pembezoni mwa barabara ya Chang’ombe majira ya saa kumi kasorobo alfajiri. [...]

07 May 2012

Wanamuziki wa Kalunde Band wakitumbuiza kwa staili ya kiduku, halfla iliyofanyika jana usiku katika hotel ya JB Belmont Hotel iliyopo katikati ya jiji la Dar.

Wachezajiwa Azam FC walipata vyeti na nishani za utumiaji bora vipaji vyao ikiwa mchezaji mwenye nidhamu, mchezaji aliedumu katika kiwangi msimu mzima, mfungaji bora, mchezaji shupavu n.k.

Vijana kutoka India waliokuja Tanzania [...]

Page 1 of 41234

SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!