Category | Sports News

11 September 2011

Ili kutekeleza maagizo ya Serikali kucheza mechi mbili tu za Ligi Kuu ya Vodacom kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam tumefanya marekebisho kwa baadhi ya mechi zilizokuwa zichezwe kwenye uwanja huo.

Sasa mechi zitakazochezwa Uwanja wa Taifa ni – mechi namba 39- Azam vs Yanga (Septemba 18), mechi namba 50- Simba vs Mtibwa Sugar (Septemba [...]

29 August 2011

VIINGILIO STARS vs ALGERIA
Viingilio kwa ajili ya mechi ya mchujo kutafuta tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zitakazofanyika mwakani nchini Equatorial Guinea na Gabon kati ya Taifa Stars na Algeria vitakuwa kama ifuatavyo;

Viti vya kijani ni sh. 3,000, viti vya bluu sh. 5,000, viti vya rangi ya chungwa sh. 7,000, VIP [...]

05 August 2011

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Jean Poulsen (pichani) atangaza kikosi cha wachezaji 20 kwa ajili ya mechi ya kirafiki ugenini inayochezwa kwenye tarehe zinazotambuliwa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) – FIFA dates. Mechi itachezwa Agosti 10 mwaka huu.

Wachezaji walioitwa kwenye kikosi hicho ni makipa; Shabani Dihile (JKT Ruvu) na Shabani Kado [...]

01 August 2011

Upangaji makundi ya mechi za mchujo kwa ajili ya fainali za Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil ulifanywa jana (Julai 30 mwaka huu) karibu na ufukwe wa Copacabana jijini Rio de Janeiro nchini Brazil ukiongozwa na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) Jerome Valcke.

Tanzania (Taifa Stars) imepangwa kundi C Kanda [...]

31 July 2011

MSHAMBULIAJI wa Azam Mrisho Ngassa amefuzu majaribio katika klabu ya Seattle Sounders ya Marekani.

Hata hivyo, mazungumzo juu ya kununua mshambuliaji huyo yanaendelea baina ya timu hizo mbili huku Seattle wakisema watamsajili katika msimu wa majira ya joto ambao ni mwezi Februari mwakani. (Habari na Dina Ismail)

18 July 2011

Uhamisho wa wachezaji wa Ligi Kuu kwa msimu wa 2011/2012 ulifikia tamati jana saa 6 kamili usiku.Wachezaji ambao maombi yao ya uhamisho yamewasilishwa TFF ni Shabani Kado kutoka Mtibwa Sugar kwenda Yanga, Salum Machaku kutoka Mtibwa Sugar kwenda Simba na Idrisa Rajab kutoka African Lyon kwenda Yanga.

Hao ni kwa wachezaji ambao maombi yao yametumwa kwa njia ya [...]

13 July 2011

KATIKA shamrashamra za kutwaa Kombe la Kagame, uongozi wa Klabu ya Yanga ukishirikiana na mwanamuziki nyota wa kike, Judith Wambura ‘Lady Jaydee au Jide’ leo wameandaa tafrija fupi ya chakula cha jioni katika mgahawa wa Nyumbani Lounge huku wadau wakiwachangia sh milioni 40.

Mbali ya wadau hao waliokunwa na ushindi huo kuchanga fedha hizo, pia uongozi [...]

20 June 2011

Wachezaji wa timu ya Netiboli ya CMTU wenye jezi nyekundu wakichuana na timu ya wanafunzi wa zamani waliowahi kusoma katika shule za Makongo na Lugalo, katika bonanza la wanafunzi waliosoma katika shule hizo lililofanyika jana, kwenye viwanja Leaders jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na wanafunzi wa sasa pamoja na walimu wa shule hizo.

Msemaji wa [...]

13 June 2011

BASKETBALL team AND1 from the United States of America showed their country’s superiority in basketball when they beat Dar es Salaam All Stars 110-69 in a sensational friendly match played at Leaders Club in Dar es Salaam over the weekend.

The well-attended match started on a quick note with AND1 exhibiting their basketball prowess to [...]

Page 2 of 41234

SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!