Category | Taarab

12 February 2013

ASIA – MTOTO WA MJINI
[Audio clip: view full post to listen]

Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.

01 September 2012

Meneja Mauzo wa Kampuni ya  Usambazaji ya My Collection, Mussa Msuba akiwa katika duka la mauzo ya kazi za Jahazi.

Msanii wa mziki wa taarabu, Mzee Yussuf kushoto akiangalia moja ya kazi zake ziliyokuwa feki zilizokamatwa na wasanii wenyewe kwa kushirikiana na kampuni ya steps entantainment ya jijini dar es salaam

22 July 2012

MSANII anayefanya vizuri kwenye muziki wa taarabu nchini Isha Ramadhani ‘Isha Mashauzi’, amesema kuwa amefunga kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani lakini haimanishi kwamba amefunga na shunguli zake za muziki kwani hizo ndizo zinazompa kula mjini na kuendesha familia.

Akiongea na DarTalk msanii huyo alisema kuwa muziki kwake ni kazi hivyo endapo akisimama mwezi mzima anaweza kufa njaa, [...]

20 July 2012

BAADA ya kulejea nchi juzi wakitokea nchini Italy walikoenda kufanya shoo, Bendi ya muziki wa Taarabu Mashauzi Classic. imesema kuwa imejifunza mambo mengi kutoka kwa watu wa kule ikiwemo namna ya kufanya shoo laivu za jukwaani ambazo huleta mvuto kwa watazamaji.

Akizungumza na DarTalk mmiliki wa bendi hiyo Isha Ramadhani ‘Isha Mashauzi’, au unaweza kumuita Simba Dume, Alisema bendi yake ilipata mualiko [...]

02 April 2012

MKALI wa taarabu bongo, Isha Mashauzi, na kundi lake la Mashauzi Classic, Jumamosi ya mkesha wa Sikukuu ya Pasaka wanatarajia kuzindua rasmi albamu yao ya ‘Si Bure Una Mapungufu’, utakaofanyika kwenye hotel ya Traveltine Magomeni.

Katika uzinduzi huo pia atasindikizwa na mkali wa nyimbo za mapenzi ‘Barnaba’ pamoja  bingwa wa mipasho Omary Tego.

Albamu hiyo ina nyimbo [...]

08 March 2012

MSANII wa muziki wa taarabu Tanzania Isha Ramadhani ‘Isha Mashauzi’, ambaye pia ni mmiliki wa bendi ya ‘Mashauzi Classic’, aliweza kuzitambulisha vyema nyimbo zao zinazopatikana katika albamu zao mbili ya ‘Si Bure Una Mapungufu’ na ‘Sijamuona Kati Yenu’, katika onesha lililofanyika kwenye  klabu ya Sun Cirro Sinza.

Albamu hizo zote zina nyimbo nne nne na ambapo [...]

14 February 2012

KINARA wa nyimbo za mipasho yani muziki wa taarab Isha Mashauzi, amesema kuwa watu wengi wamekuwa wakipata ujumbe katika kazi zao ingawa wapo ambao wanaamini kuwa wanasemwa kutoka na mashairi yao.

Akizungumza na mwandishi wa DarTalk, Isha alisema nyimbo zao ninawagusa wale wenye tabia mbaya na wale ambao hupenda kuwazungumzia vibaya wenzao.

Alisema kuwa wapo baadhi ya watu ambao husema [...]

12 January 2012

MSANII wa taarabu ambaye ni mmiliki wa bendi ya ‘Mashauzi Classic’, Isha Mashauzi, amesema kuwa wanajipaga kutoa albamu yao inayokwenda kwa jina la ‘Si bule una mapugufu’, ambayo itakuwa na nyimbo nne huku ikitarajia kuwa sokoni Aprili mwaka huu.

Alizitaja nyimbo hizo kuwa ni ‘Si bule una mapungufu’, ‘Niacheni nimpende’, ‘Fungu la kukosa’, ‘La mungu halina [...]

26 May 2011

DarTalk.Com

An Ultimate online resource that offers you daily dose of entertainment to keep you current on the latest news, photos, music, sports, fashion, and so much more!

DarTalk.com is being built around the idea that our city, its residents and businesses would benefit from a user friendly, informative entertainment news website.

The site is still relatively new. [...]

22 March 2011

Kundi la Five Stars Modern Taarab lapata ajali ya gari. Ajali hiyo ya gari iliyotokea jana usiku saa tatu na dakika 34 usiku wa tarehe 21 march katika barabara ya maeneo hifadhi ya mikumi mkoani morogoro ambapo gari ya kundi hilo aina ya coaster iligonga lori bovu ambalo lilikua limepaki barabarani.
Idadi ya waliofariki ni 13, miongoni [...]

Page 1 of 11

SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!