Category | Uncategorized

05 April 2012

MSANII wa muziki kutoka visiwani Zanzibar ambaye kwa sasa anatamba katika muziki wa mduara Ally Ramadhan ‘AT’, amesema kuwa kamwe hawezi kusahau ugongwa aliokuwa anaumwa pindi alipokuwa mtoto wa kutokwa na usaha ndani ya mifupa uliotaka kuchukua maisha yake.

Msanii huyo alikutana na mwandishi wa DarTalk, ili kueleza maisha yake ya utotoni, ambapo alifunguka kuhusu ishu [...]

13 January 2012

MSANII wa muziki wa kizazi kipya bongo ‘Kastiff’, ameuambia mtandao wa DarTalk, kuwa yupo katika wakati mgumu kimaisha baada ya mwanadada mmoja aliyempa ujauzito kuchukua vitu vyake vya ndani na kukimbia navyo kusikojulikana.

Chanzo cha tukio hilo ni baada ya mwanadada huyo kuhisi ana ujauzito wa msanii huyo, ambapo aliona njia ya kupata pesa kwa haraka [...]

13 January 2012

BENDI kongwe ya muziki wa dance nchini, Msondo Ngoma ‘Baba ya muziki’, imelipoti kuwa inatarajia kuingia studio kwa ajili ya kuanza kurekodi albamu mpya iliyopewa jina la ‘Suluu’, yenye nyimbo sita.

Akizungumza na mtandao wa DarTalk, msemaji wa bendi hiyo Super D, alisema kuwa albamu hiyo inatarajia kutoka mwanzoni mwa mwaka huu kutokana na ratiba waliyojiwekea.

Super [...]

05 January 2012

MSANII mwenye uwezo wa kuzungumza sauti za viongozi bongo, Steve Nyerere, amezungumza na DarTalk na kusema kuwa anatarajia kwenda Butiama kwa ajili ya kutengeneza filamu yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Respect Nyerere’.

Kabla hajazungumzia ujio wa filamu hiyo Steve, alisema hivi sasa kazi zake zitakuwa tofauti na wasanii wengine kwani hawezi kucheza filamu za mapenzi, [...]

05 January 2012

MSANII wa muziki wa Regge bongo, anayefanya vizuri na Band ya ‘Afrikabisa band’, Jikhoman, amesema anatarajia kutoa ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina ‘Bongo Ragga Mussin’.

Akizungumza na DarTalk, msanii huyo alisema baada ya kuachia wimbo huo atakuwa katika harakati za kuachia albamu yake yenye nyimbo 10.

Jikhoman alizitaja baadhi ya nyimbo hizo kuwa ni ‘Bongo Ragga [...]

05 January 2012

MSANII mkali wa Bongo flava Diamond Platnumz, ameweka wazi kuwa aliwahi kumuibia mama yake pete ya dhahabu ili auze kwa lengo la kupata hela ya kwenda studio kurekodi.

Akizungumza na DarTalk hivi karibuni msanii huyo, alisema awali maisha yake yalikuwa magumu hivyo alifikia hatua ya kuiba pete hiyo ili aweze kutimiza lengo lake la kwenda studio [...]

02 January 2012

MSANII wa muziki wa bongo Fleva Mwana FA, ameuambia mtandao wa burudani wa DarTalk kuwa fani hiyo kwa mwaka uliopita imepiga hatua kubwa na kuwapa wasanii wengi mafanikio.

Alisema kuwa mafanikio waliyopata wasanii hao, yote yametokana na upokeaji mzuri wa kazi zao kutoka kwa Watanzania ambao wamekuwa wakitoa mchango mkubwa katika kila kazi wanazotoa.

Msanii huyo kwa [...]

31 December 2011

MSANII mkali wa muziki wa bongo fleva, Alikiba, amezungumza na mtandao wa burudani wa DarTalk, na kusema kuwa anafikiria kuachana kabisa na kutoa albamu ili aanze kutoa Single moja moja ambazo anaamini zitaweza kuuza vizuri zaidi.

Alisema kuwa suala hilo analifanyia mchakato ili kabla ya kuchukua maaumuzi awe amejua madhara yake ambayo yanawewza kutokea.

“Nataka kufanya hivyo [...]

31 December 2011

MSANII kutoka ‘THT’, Esterina  Sanga ‘Linah’, amezungumza na DarTalk kuhusu ujio wake wa mwaka 2012 ambapo amesema kuwa kitu cha kwanza kilichopo katika mipango yake ni kutoa albamu yake ya pili ikiwa pamoja na kufanya kazi za kimataifa.

Akizungumzia albamu hiyo Linah alisema itakuwa na nyimbo nane, lakini hadi sasa bado hajaipa jina huku hajajua ni [...]

29 December 2011

MSANII wa muziki wa bongo fleva, Nassib Abdul ‘Diamond’, amekanusha vikali habari zilizotolewa na aliyekuwa  mwakilishi wa miss Swahili Rehema Fabian, kuwa aliwahi kutembea naye.

Fabian alizungumza na DarTalk, hivi karibuni na kusema kuwa Diamond hana mvuto wa mapenzi na kama alitembea naye sasa basi na aendelea na hao anaowachezea.

Diamond sasa ameamua kufunguka baada ya kupata [...]

Page 1 of 6123456

SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!