Hili group jipya kabisa katika muziki huu wa kizazi kipya likifahamika kama Shosteez. Lamar anaonekana humu ndani akiwa na wadada watatu, katika kudhihirisha mzigo huu umepikwa Fishcrab Audio Station pande za kariakoo. Stay tuned!!!