Category | What's New

13 July 2012

MSANII Rehema Chalamila ‘Ray C’ au unaweza kumuita ‘kiuno bila mfupa’ utakuwa haujakosea, amefunguka na kudai kuwa mikakati yake ya ndoa na bwana ake wa Kenya bado inaendelea lakini wanaochelewesha ni wazazi wa mwanaume ambao wanaonekana kuchukua muda katika kutoa maamuzi.

Kufunguka kwa msanii huyo kumekuja siku chache baada ya kuzungumza na mwandishi wetu, ambapo alidai kuwa hataki kufanya mambo haraka haraka [...]

12 July 2012

SIKU chache baada ya mtandao huo kuripoti kuwa video mpya ya msanii wa mziki wa kizazi kipya Ben Pol, ‘Maneno’, inatarajia kuigia sokoni hivi karibuni, sasa msanii huyo amesema kuwa tayari kazi hiyo imekamilika na leo itaanza kuonekana kwenye vituo mbalimbali vya televisheni.

Akiongea na DarTalk kwa mara nyingine tena msanii huyo alisema kuwa amesikiliza maoni ya mashabiki wake pamoja [...]

12 July 2012

According to reports, former No. 2 overall draft pick Hasheem Thabeet has agreed to a fully-guaranteed two-year contract with the Oklahoma City Thunder.

The 7’3” center can officially sign his new deal on July 11, when the league’s moratorium ends.  The terms were not disclosed, but it is suspected he will receive a minimal salary, or [...]

11 July 2012

MSANII wa muziki wa kizazi kipya Quick Racka, amesema kuwa anatarajia kutoa ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Katika’, akimshirikisha mwanadada Shaa .

Akiongea na DarTalk, msanii huyo alidai kuwa kwa upande wake amesharekodi hivyo anayesubili ni mwanadada huyo ili naye atupie mistari yake ili kazi iweze kukamilika na kwenda sokoni.

Alisema kuwa ngoma hiyo itakuwa ni mfano wa club kwani katika [...]

10 July 2012

BAADA ya kufanya vizuri na ngoma yake ya ‘Nunda’, msanii mkongwe ndani ya muziki Banana Zorro, amesema kuwa tayari ameshakamilisha kibao kingine kinachokwenda kwa jina la ‘Jirani’, ngoma ambayo kwa sasa ipo kwenye mchakato wa kutolewa video.

Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, msanii huyo anayetokea kwenye familia ya kimuziki, alisema kuwa audio ya ngoma hiyo bado hajaiachia kwani anakamilisha video [...]

09 July 2012

BAADA ya kufanya vizuri na ngoma yake ya ‘Nidangaye’ msanii Shetta, amesema kuwa kwa sasa yupo kwenye mchakato mpya wa kufanya
ngoma na mwanadada Lady Jay Dee, lakini bado wanabishana juu ya kuipa jina ngoma hiyo.

Akizungumza na DarTalk, Shetta alidai kuwa mbali na kubishana juu ya jina la ngoma yake kwa upande wake anaamini itaitwa ‘Bonge la Bwana’, [...]

09 July 2012

MSANII wa muzki wa Hip Hop kutoka pande za Morogoro Seleman Msindi ‘Afande Sele’, amesema kuwa haoni sababu ya kuleta nyimbo zake jijini Dar kwani haonekani kama ana umuhimu kutokana na radio nyingi kuzidharau nyimbo zake.

Akizungumza na mwandishi wa habari hii, msanii huyo alidai kwa sasa amekata tamaa ya kuleta kazi zake kwenye redio za Dar kwani hakunawanachokifanya [...]

09 July 2012

MSANII anayefanya muziki wa bongo fleva Felly Kano ‘Felly’, ameiambia DarTalk kuwa amekamilisha video ya wimbo wake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Hangover’, ambayo inatarajia kutoka hivi karibuni.

Akizungumza na mtandao huu msanii huyo mwenye maskani ya Oysterbay jijini Dar, alisema kuwa video hiyo imekamilika wiki iliyopita na sasa wanaendelea na editing ili iweze kuwa bomba zaidi.

Hata hivyo aliongeza kuwa [...]

09 July 2012

Mkurugenzi Miss utalii Kinondoni, Bw. Methuselah Magese akizungumza na jopo la waandishi wa habari katika ufunguzi rasmi wa shindano hilo ambalo litafanyika katika hoteli ya Travertine tarehe 20 julai jijini Dar.

Meneja wa Hotel ya Travetine, Mr.Mtweve akitoa maelezo ya kina kwa waandishi wahabari jinsi wanavyokaa nao warembo hao.

Mwalimu wa dance akionyesha manjonjo na warembo wa Miss Utalii [...]

SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!