Category | What's New

09 February 2013

WAKATI msanii PNC kutoka Mtanashati Entertainment akiendelea kufanya poa na ngoma yake inayokwenda kwa jina la ‘Imebuma’, sasa ameweka wazi kuwa hatoi kazi yoyote badala yake anakazia mzingo mpya wa Dogo Janja, ambao utakuwa unahusu maisha ya muziki na shule ambao bado hawajaupa jina.

PNC alizungumza na mwandishi wa mtandao wa DarTalk, na kueleza kuwa pamoja yote ngoma yake [...]

09 February 2013

Steve RnB new single will come out on Tuesday( February 12th, 2013) and the name of the song is ‘Music ( Its all about music)’. This is a special gift for Valentine from Steve RnB to his fans and all RnB fans out there.

Name of the song: Music ( Its all about Music)
Artists : Steve RnB
[...]

08 February 2013

MSANII anayechipukia kwenye tasnia ya muziki Monstar, amepiga story kadhaa na mwandishi wa DarTalk, na kueleza kuwa amekuwa akipata ugumu wa kusambaza kazi zake kutokana na nakutokuwa na watu wa kuweza kusimamia kwa umakini.

Mwandishi wa DarTalk akizungumza na msanii huyo, alisema kuwa tayari kuna ngoma yake inafanya poa inakwenda kwa jina la ‘Sijawasusa’, lakini kubwa zaidi linalofanya kazi hiyo [...]

08 February 2013

Hi everyone,

Please share this with your friends and also on your blogs and web-sites:

Steve Rnb single Jambo Jambo is now available on iTunes :
https://itunes.apple.com/us/album/jambo-jambo-single/id600134867

Thanks for your support,
Kvelli Entertainment LLC
Email: Kvellimanagement@gmail.com
Facebook: http://www.facebook.com/therealstevernb
Twitter: @stevernbTz

01 February 2013

MSANII mwenye sauti ya kipekee kwenye game la muziki wa kizazi kipya Felly Kano ’Felly’, ameuambia mtandao wa DarTalk, kuwa anatarajia kufanya mchakato wa kuimarisha bendi yake ya Songwe muzik Band, kwa kuchukua wasanii kutoka Afrika Mashariki ambapo pia bendi hiyo itaanza rasmi kufanya kazi zake mwezi March mwaka huu.

Mbali na harakati hizo msanii huyo aliweka wazi ujio wa [...]

01 February 2013

DIVA FT MR. BLUE – MGONJWA KWA RAHA ZAKO
[Audio clip: view full post to listen]

Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.

31 January 2013

SIKU chache baada ya kuachiwa kwa dhamani kwa kesi inayomkabili ya kudaiwa kuua bila kukusudia msanii wa filamu Elizabeth Machael ‘Lulu’, wakili wake Peter Kibatala, amesema kuwa amesikishwa na kitendo cha wasanii wa tasnia hiyo kushindwa kujitokeza mahakamani siku zote za kesi hiyo na hata siku ya mwisho ambayo wamepewa dhamani.

Wakili huyo akizungumza na vyombo vya habari [...]

30 January 2013

MKALI wa muziki wa Hip Hop anayetokea mkoani Morogoro Afande Sele, ambaye kwa muda mrefu hajaonekana kwenye video sasa amesema kuwa yupo kwenye harakati za kuipeleka ngoma yake ya ‘Soma Ule’ kwenye kideo ikiwa ni awamu yake ya kwanza ndani ya mwaka ya kutengeneza video.

Afande alizungumza na mwandshi wa DarTalk ambapo alisema kuwa mwaka huu ameona ni vyema [...]

29 January 2013

WAKATI msanii wa filamu Aunty Ezekiel, ameweka wazi kuwa anatarajia kuondoka nchini rasmi mwezi Februari mwaka huu ili kumfuata mume wake Dubai na hajui atakaa kwa muda gani kwani mwenye kauli ya mwisho ni yule anayemfuata huko.

Mwandishi wa DarTalk alifanya mazungumzo na msanii huyo, ambapo alisema kuwa amemkumbuka mume wake hivyo anaona ni wakati muafaka wa kwenda kuishi naye [...]

Page 4 of 7712345678910203040...Last »

SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!