Diamond Aelezea Jinsi Young Killer Alivyopagawa Baada ya Kumpa Beat Wafanye Collabo

Msanii wa muziki wa Hiphop Tanzania anaewakilisha vema rock city Young killer Msodoki alipagawa baada ya kupewa taarifa ya kuwepo kwenye wimbo wa pamoja na Boss wa wasafidotcom Diamond Platinumz.

diamond_young_killer

Diamond Platinumz amesema kuwa anayo kolabo na rapa @Youngkillermsodokii na siku aliyomuita studio kumpa taarifa za kuwa watafanya kazi pamoja rapper huyo alipagawa na hakuamini alichokisikiana.

Msikilize diamond platinumz hapo juu akieleza zaidi: