20 March 2013

Miss World Africa mwaka 2005 na Miss Tanzania mwaka huo huo, Nancy Sumari (pichani) jana alizindua Kitabu chake kiitwacho ‘Nyota Yako’, ambacho ni Kitabu cha simulizi inayohadithia mafanikio na uwezo wa wanawake tofauti wa Kitanzania wanaoonyesha jitihada na upekee unaolenga kumhamasisha mtoto wa kike kwenye jamii kutaka kuota ndoto kubwa na kudhubutu kuyafanikisha yale ayawazayo.

Mgeni [...]

27 February 2013

CEO wa Endless Fame Films, Wema Sepetu amelazimika kujisamilisha kwa daktari wa meno baada ya ulaji wa chocolate kumponza na hivyo kuozesha baadhi ya meno yake.

Kupitia mtandao wa Instagram, Miss Tanzania huyo wa zamani, ame-share picha akiwa kwenye clinic ya meno kung’oa jino lililokuwa likimsumbua. “Apparently I have 8 cavities….. oh god… does this mean [...]

08 February 2013

Mwanamitindo wa kimataifa kutoka nchini Tanzania Flaviana Matata ameshiriki katika kampeni za matangazo makubwa ya makampuni ya nguo ya DIESEL+EDUN.

Kampeni ya DIESEL + EDUN ilianzishwa mwaka jana mwezi wa kwanza ambapo muanzilishi wa kampuni ya DIESEL – Renzo Rosso – na waanzalishi wa kampuni ya EDUN – Ali Hewson na Bono walisafiri hadi nchi za [...]

24 January 2013

MWANAMITINDO wa kimataifa wa Tanzania, Flaviana Matata ameendelea kung’ara kimataifa baaada ya kushinda tuzo ya Nigeria’s Next Super Model na kuwa mwanamitindo bora barani Afrika wa mwaka 2012 (Africa’s Most Outstanding Model).

Tuzo hiyo utolewa kwa wanamitindo ambao bado wanailetea sifa Afrika kimataifa na Flaviana amekuwa katika chati ya juu. Mwaka jana Desemba, Flaviana alishinda tuzo [...]

13 January 2013

Mwanamitindo aliebuka na taji la Unique model of the year 2012/2013 kutoka katika shindano la Unique model 2012, Catherine Masumbigana anatarajiwa kuonekana kwa mara kwanza karika runway ya Lady in Red baada ya kunyakua taji hilo mwishoni mwa mwaka jana.

Catherine Masumbigana ndiye atakaekuwa yule mwanamitindo atakaetoka na vazi la Lady in Red usiku wa tarehe 9 february.

Mipango na mikakati ya [...]

29 December 2012

Mwanamitindo bora wa mwaka 2012 Catherine Masumbiga (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Unique Model Photogenic Elizabeth Pertty (kushoto) na Unique Model Talent Vestina Charles mara baada ya kutangazwa kwa mshindi.

Mwanamitindo wa mwaka 2012 Catherine Masumbiga (katikati) amepatikana jana usiku kwenye shindano lililofanyika kwenye Klabu ya New Maisha jijini Dar es Salaam akiwa kwenye picha ya pamoja na washindi [...]

25 December 2012

Baraza la sanaa la aifa limeteuwa majina matatu kati ya sita ya majaji yaliopendekezwa na waandaji wa shindano la kumsaka mwanamitindo wa mwaka mwenye sifa za kipekee.

Uteuzi huo wa wabunfu Asia Idarous Khamsini, Gymkhana Hilall (paka wear) na Martin Kadinda umefanyika mwishoni mwa
wiki hii baada ya baraza la sanaa la Taifa (Basata) kupitia wasifu [...]

25 December 2012

Welcoming the New Year, we say goodbye to the old, remembering the beautiful moments behind us, getting ready for even better ones ahead of us … And while we enjoy the happy music of life, the victory is in every moment spent in joy.

Thank you for those moments!!
Wishing you a Merry Christmas and a Happy [...]

Page 2 of 261234567891020...Last »

SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!