21 October 2012

Mshiriki wa Redd’s Miss Tanzania 2012, Mary Chizi ndiye alieibuka kidedea leo katika mashindano ya Michezo mbali mbali iliyowashirikisha warembo wote wa mashindano hayo ambapo yeye ameweza kuwa kinara katika michezo mitatu mfululizo ukiwemo wa kuogelea. Mary Chizi anaungana na wenzake wawili walioshinda mataji ya Miss Photogenic (Lucy Stephan) na Top Model (Magdalena Roy) ambao [...]

10 October 2012

Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kidoti Tanzania Limited, Jokate Mwegelo akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi wa lebo yake ya Kidoti kwenye hotel ya Serena.

Miss Tanzania namba mbili wa mwaka 2006, Jokate Mwegelo amezindua rasmi lebo yake ya mitindo ya nywele na nguo ijulikanayo kwa jina la Kidoti Brand.

Jokate ambaye alianza kujihusisha na masuala [...]

10 October 2012

Mrembo aliyewahi kuwa Miss Tanzania 2000, na msanii wa muziki  Jacqueline Ntuyabaliwe almaarufu K-Lyinn au amejifungua watoto mapacha wa kiume. Hongera sana K-Lynn!!

09 October 2012

Washiriki wa Redds Miss Tanzania 2012 wakiwa katiak picha tofauti tofauti wakati wakiwa katika eneo la Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro.

Warembo wakizungumza na mmoja wa Wasaidizi wa watalii wanao panda mlima Kilimanjaro.

Baadhi ya warembo wakipiga picha na baadhi ya viongozi wa Kamati ya Miss Tanzania

Warembo wakizungumza na mmoja wa Wasaidizi wa watalii wanao panda mlima Kilimanjaro.

Picha [...]

07 October 2012

Eureka! It’s Official! Kidoti is officially launching this Wednesday, 10th October, 2012 at Serena Hotel at 11.00am.

“You’ve never seen anything like it. Because there’s never been anything like it.”

06 October 2012

JUMLA ya warembo 29 kati ya 30 wanaowania taji la Redd’s Miss Tanzania 2012 leo wameanza ziara rasmi ya kutembelea Vivutio vya Utalii vilivyopo Kanda ya Kaskazini katika mikoa ya Moshi, Arusha na Manyara.

Warembo hao wakiongozwa na Viongozi wa Kamati ya Miss Tanzania, wakiwa katika mikoa hiyo watatembelea vivutio hivyo na kuhamasisha jamii ya watanzania [...]

02 October 2012

WAREMBO 30 kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini wanatarajiwa kuingia kambini leo kwenye hoteli ya Giraffe kwa ajili ya kuanza maandalizi ya kushiriki shindano la urembo la Taifa Redd’s Miss Tanzania 2012 litakalofanyika Novemba 3 kwenye ukumbi wa hoteli ya Ubungo Plaza hapa jijini Dar es Salaam.

Akizungumza jana jijini, Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino Agency International, [...]

30 September 2012

Swahili Fashion Week, East and Central Africa largest fashion event, now in its fifth year is advancing its showcase from Tanzania to Neighbor country & Kenya by having a one night showcase in 6th October 2012.

Swahili Fashion Week 2012 will collectively bring together 15 fashion and accessories established designers from Swahili speaking countries and beyond [...]

22 September 2012

The supermodel and former Miss Universe Tanzania (2007), Flaviana Matata, was in the UK for the London Fashion Week.

She spoke to the BBC a few hours before returning to New York where she is based when not working in Europe, Africa or other parts of the world. Here she is being interviewed for BBC Africa’s [...]

18 September 2012

Miss Utalii Wilaya ya Ilala, Salome Kiula (katikati) akiwa amepozi pamoja na mshindi namba mbili Caroline Yust (kulia) na mshindi wa tatu Lucy Julius.

Miss Utalii Wilaya ya Ilala, Salome Kiula (kulia) akiwa na Miss Utalii Wilaya ya Kinondoni Fatma Hussein muda mfupi baada ya kutawazwa kuwa mamalikia wa utalii katika mashindano hayo.

Miss Utalii Wilaya ya [...]

SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!