08 May 2013

MWIGIZAJI Mahiri wa filamu Wema Abraham Sepetu ndiye msanii anayelipwa fedha nyingi kuliko msanii yoyote wa filamu katika kushiriki katika filamu kutoka kwa watayarishaji wengine ili uweze kumshirikisha Wema Sepetu katika filamu yako kama mwigizaji bila kujali anacheza scene ngapi gharama yake ni milioni kumi.

Wema ambaye kwa sasa anamiliki kampuni yake ya utengenezaji wa filamu [...]

07 May 2013

Baada ya story ya mwanadada Jacqueline wolper kutolewa nje pamoja na vitu vyake kuzagaa kwenye vyombo vya habari hususani magazeti, tuliamua kumtafuta mwanadada huyu ili tupate ukweli wa jambo hilo na kuamua kumtafuta hewani

Mwandishi: Mambo Jack, mzima wewe?

Jackline Wolper: Mi mzima, vipi salama?

Mwandishi: Salama kabisa, vipi kuhusu hii habari ya kutolewa vitu nje ya nyumba? [...]

18 April 2013

Katika kuonesha kwamba bado ana kiu ya kuona sanaa yake inapanuka na kuvuma mbali huku akiboresha maisha yake, kukuza kipato na kuongeza ufanisi , msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini H. Baba ameamua kujikita katika biashara kwa style ya kipekee kwa kuingiza sokoni bidhaa aina ya pipi zenye jina, picha na chata [...]

18 April 2013

Haya ndio maneno aliyoandika mrembo huyu kupitia instagram yake..

07 April 2013

Lulu akiwa na mama yake mzazi leo walipo tembelea kaburi la marehemu Steven Kanumba ikiwa ni mwaka mmoja toka amefariki

Shada la Maua likiwekwa kaburini hapo

Wakimuombea Marehemu Steven Charles Kanumba

Mama Kanumba akisaidiwa kuweka shada la maua

Lulu akiendelea kumlilia Kanumba huku Mama Kanumba akiweka shada lake la maua kwenye kaburi la mwanae.

Lulu akiwa katika picha ya pamoja na [...]

06 April 2013

MSANII anayefanya tamthilia na filamu za kibongo, Rayuu, ameuambia mtandao wa DarTalk, kuwa anatarajia kuonekana kivingine ndani ya filamu mpya inayokwenda kwa jina la ‘Ghost Love’ ambayo kwa sasa bado ipo kwenye upigaji wa picha.

Ndani filamu hii msanii huyo ametumia jina la ‘Helen’ mdada aliyependwa na jini mahaba tangu akiwa mdogo na hicho ndiyo kisa kinachosababisha matatizo mengi [...]

27 March 2013

SHIRIKISHO la Filamu Tanzania (TAFF) limempongeza msanii wa kike Wema Sepetu kwa moyo wa upendo aliouonyesha kwa msanii mwenzie Kajala Masanja kwa kumlipia faini ya sh. milioni 13 alizotozwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutokana na kupatikana na hatia katika kesi ya utakatishaji fedha iliyokuwa inamkabili mahakamani hapo

Akizungumza kwa niaba ya viongozi wengine rais [...]

17 March 2013

MSANII wa filamu na muziki mwenye mvuto wa aina yake Snura Mushi ‘Snura’, ameamua kutoa la moyoni kwa madai kuwa sasa anatafuta mwanaume wa kuweza kufunga naye pingu za maisha lakini kwanza kabisa akubali kumpa muda mrefu wa kutafuta pesa ili asiwe tegemezi baada ya kuingia ndani ya ndoa hiyo.

Kauli ya msanii huyu imekuja mara baada ya mwandishi [...]

17 March 2013

BAADA ya kuandamwa na skendo chafu, msanii wa filamu na tamthilia Rayuu, ameamua kuweka wazi kuwa kitendo hicho kimemfanya atofautiane na familia yake hasa wazazi, huku wakimtaka kuchukua hatua za haraka ili aweze kuachana na tabia hizo ambazo zinaweza kuichafulia jina familia.

Msanii huyo amekuwa akionekana kwenye picha kadhaa chafu ambazo zimekuwa zikimchafulia jina, akiongea na mwandishi wa DarTalk [...]

Page 1 of 4512345678910203040...Last »

SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!