
WAKATI mashabiki wa msanii Snura Mushi ‘Snura’, wakiwa na hamu ya kuona kichupa chake sasa wataanza kumuona mrembo kwenye huyo kwani ameshaachia video ya ngoma yake ya ‘Shoga Ake Mama’.
Snura aliongea na DarTalk ili kuwajulisha mashabiki wake waolikuwa wanaisubiri kwa hamu kubwa video hiyo, ndipo alipodai kuwa amefanya kitu tofauti kwani kufanya kwake tofauti na kuongeza kuwa kitu kikubwa watakachofurahi kikuona [...]
WAKATI watanzania wengi wakiamini kuwa msanii Ney Wa Mitego, yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanadada wa kwenye tasnia ya filamu Salma Jabu ’Nisha’, mkali huyo wa ngoma ya ‘Wamenichokoza’, amekanusha uwepo wake kwenye mahusiano na mwanamke yeyote na kudai kuwa kwa sasa ana marafiki tu wa kike wa kubadilishana mawazo na si wapenzi au mpenzi kama watu [...]
MSANII wa tasnia ya filamu bongo Irene Paul, amefunguka kwa kudai kuwa upole wake haumfanyi aonekane mwenye nidhamu ya uonga, bali mara nyingine ni mkimya lakini huwa anachukizwa sana na wasanii wababaishaji ambao hawako makini na kile wanachokifanya.
Msanii huyo ameshashiriki kwenye filamu nyingi ikiwemo ‘Love Me Or Love Me Not’, ambayo ameshirikishwa na Rose Ndauka na uwezo mkubwa aliouonesha [...]
MSANII mahiri ndani ya tasnia ya filamu bongo asiye na skendo za ajabu Riyama Ally, ameuambia mtandao wa DarTalk, kuwa hata kama atakuwa anaishi maisha ya mwananchi wa kawaida, kamwe hatoweza kupoteza heshima yake kwa sababu ya kutaka kuishi maisha ya kifahari na mafanikio kwa njia ya mkato.
Mwandishi wa DarTalk alimtafuta bidada huyo ili kuzungumza naye mawili matatu juu [...]
WAKATI wanaume wengi wakishindwa kudai mimba na badala yake wanadai mtoto akishakuwa mkubwa, hali hiyo inadaiwa kuwa imeanza kumtokea msanii maarufu wa filamu na muziki Shilole, ambapo mwanaume aliyezaa naye mtoto ameaanza kudai kutaka kumchukua mwanaye bila sababu zozote za msingi.
Chanzo kimoja cha habari kilizungumza na DarTalk, kilidai kuwa msanii huyo amekuwa akisumbuliwa na jamaa huyo ambaye ndiye inayedaiwa [...]
MSANII aliyeshika kasi baada ya picha zake zilizokuwa zinamuonesha sehemu kubwa ya mwili wake kuvunja, Rayuu amesema kuwa baada ya kufanya uchunguzi juu ya ishu hiyo amegundua kuwa mtu aliyekuwa anasambaza picha zake ni mpenzi wake ambaye kwa muda mwingi walikuwa kwenye mzozo mkubwa uliosababisha kuachana kwao.
Msanii huyo ameuambia mtandao wa DarTalk kuwa uchunguzi huo ulifanywa na moja [...]
MUIGIZAJI wa siku nyingi Jennifer Mwaipaja ‘Shumileta’, amedai kuwa maisha yake ni ya kawaida na haishi kwa kujiumiza kichwa kwani kile anachokipata kinamtosha na hajawahi kutumia njia za mkato kupata mali kama wengine wanavyofanya, kwa kujiuza kwenye hoteli kubwa kubwa ili tu wapate wanaume wenye pesa nyingi.
Wakati alipozungumzia juu ya wasanii wanaojiunza kwenye hoteli kubwa kubwa, mwandishi wa mtandao [...]
MSANII wa filamu za kibongo asiye na matukio ya ajabu Zamzam Salim ‘Zamzam’, amedai kuwa haoni sababu ya kutangaza anataka kulipwa kiasi gani katika kila filamu kwani anaamini ubora wa kiwango chake ndio jibu sahihi kwa waandaaji kwani hataki ufuata mkumbo kama wale ambao kila siku wanajitangaza wakati ukitazama viwango vyao si vya kutisha.
Sasa umeibuka mtindo kwa kila [...]
MSANII anayeshikilia nafasi ya juu kwa sasa kwenye muziki wa kizazi kipya Tanzania Nasseb Abdul ‘Diamond’, inasemekana kuwa ameamua kutoa ya moyoni juu ya Wema Sepetu katika ngoma yake mpya ya ‘Nataka Kulewa’, ambayo imezungumzia matukio yote yaliyomkuta alipokuwa na mwanadada huyo na mengine ambayo yalikuwa yanazungumzwa na watu pindi wakiwa wapenzi.
Chanzo kimoja cha karibu na msanii huyo kilizungumza [...]
MSANII mkongwe kwenye wa filamu na utunzi wa hadithi Aunty Fifi, ameuambia mtandao wa DarTalk kuwa baada ya kuokoa na kumjua mungu vilivyo, sasa ameamua kuanza kutoa huduma ya kuwaombe watu kwani tayari ameshafanya maombi kwa kijana mmoja ambaye alikuwa ameoza mguu na sasa amerudi katika hali yake ya kawaida.
Awali kabisa kijana huyo inadaiwa kuwa alitakiwa kwenye [...]