30 October 2012

Wapambe kadhaa wa msanii Jackline Wolper wamelonga na mwandishi wa DarTalk kuwa, hivi sasa Wolper haitaji kulia tena kwenye mapenzi hivyo amepanga mwanaume ambaye atamtangaza muda wowote basi watu wajue kuwa ndiye mume kabisa kwani haitaji tena kuumizwa.

Wapambe hao ambao mara nyingi huwa karibu na msanii huyo, walifunguka kuwa kwa sasa msanii huyo hana mwanaume na endapo akimpata [...]

29 October 2012

MSANII mahiri wa filamu Tanzania anayeaminika kuwa anastahili kufanya kazi kimataifa kutokana na uwezo wake Vicent Kigosi ‘Ray’, amefunguka na kuwajibu watu wanaokaa kila siku na kumtaka afanye filamu hizo, kuwa yeye hajutii kutofanya kazi hizo kwani anazofanya zinamtosha na si lazima yeye kufanya kazi hizo.

Wapo baadhi ya wasanii wanaoamini kuwa Ray ana uwezo mkubwa kisanaa wa kufanya [...]

29 October 2012

MSANII wa filamu ambye pia ni mtangazaji wa kipindi cha TV cha ‘Harusini na Sintah’ kitachorushwa DTV, Christine John ‘Sintah’, amekanusha vikali uwepo wa picha zake za utupu na kudai kuwa anayesema anazo basi aziweke hadharani ili watu waone ujinga wake ingawa anaamini kuwa katika maisha yake hajawahi kupiga picha za namna hiyo kama watoto wadogo wanavyofanya.

Lipo kundi [...]

27 October 2012

MWANADADA anayejipatia umaarufu kupitia video za wasanii wa muziki wa kizazi kipya, Agness Masogange, ameuambia mtandao wa DarTalk kuwa hatumii mwili wake kama chombo cha kuwakamata wanaume bali hutoa penzi lake kwa yule anayempenda na ishu zinazozungumzwa mitaani kuwa anaongoza kwa kuiba wanaume za watu si kweli na wanaodai hivyo hawamtakii mema.

Mwandishi wetu alizungumza na mwanadada huyo juu ya [...]

27 October 2012

Jackline Wolper (kulia), akipokea cheti cha ushindi kutoka kwa DK. Cheni aliyekuwa jaji mkuu wa shindano hilo. Wolper akiwa ameshikiria cheti chake muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi. Dok. Cheni akiwa kwenye pozi na Wolper juu ya jukwaa.

Chidi Benz aka Chuma aliporomosha burudani

Msanii Ommy Dimpoz akipagawisha mashabiki

Kulikuwa na mashindano ya watoto pia

MSANII wa [...]

26 October 2012

MSANII wa filamu na muziki Jini Kabula, ameweka wazi kuwa tayari ameshaingia kwenye maisha mapya, kwani ameshachumbiwa na mwanaume aliyedai kuwa ni mfanyabishara ambaye mara nyingi husafiri kwenda nje, na kudai wabaya wake wanaochukia wameze sumu.

Mwandishi wa DarTalk alichonga na Kabula kwa dakika kadhaa ndipo alipofunguka juu ya ishu hiyo kuwa maisha yanabadilika na kama ameishi maisha ya [...]

24 October 2012

WIKI kadhaa zimepita baada ya picha za msanii Rayuu zilizokuwa zinaonesha tattoo kuvuja mitandaoni, safari hi hali imekuwa mbaya zaidi kwani picha nyingine zinazoonesha matiti yake zimenaswa na DarTalk na mwenyewe alipotafutwa kuelezea alibaki mdomo wazi na hajui ni mtu gani anayezisamabaza.

Baadhi ya picha za chafu za Rayuu zilizosambaa mitandaoni.

Rayuu amedai kuwa hajui lolote kwani picha hizo [...]

22 October 2012

MSANII mwenyekipaji kikubwa cha kuigiza sauti za watu mbalimbali, Steve Nyerere, amesema kuwa baada ya kufanya filamu kazi sasa anatarajia kufunga mwaka na kazi mpya ya ‘Kingdom Village’, ambayo ataitoa mwezi Desemba mwaka huu.

Hata hivyo aliongeza kuwa pamoja na kazi hiyo ya kufunga mwaka ana filamu mpya ‘Get Out’, ambayo imeshakamilika na inakwenda sokoni mwezi huu.

Mtandao wa DarTalk ulifanya [...]

SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!