
MSANII wa filamu bongo, Dino(pichani), ameongea na mtandao wa DarTalk, na kusema kuwa anatarajia kuipeleka sokoni kazi yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘The Suspect’ yani ‘mtuhumiwa’, huku ikiwa na mastaa kibao.
Dino aliwataja baadhi ya wasanii hao kuwa Amanda, Swebe, Frank na wengine kibao.
Hata hivyo alisema kuwa filamu hiyo itakuwa inahusu maiti ya dada mmoja [...]
WASANII wawili wanaofanya filamu nchini, Salma Jabu ‘Nisha’ na Flora Mvungi, wameuambia mtandao wa DarTalk, kuwa wameanzisha kundi lao la sanaa lijulikanalo kwa jina la ‘Together’ ambalo litakuwa na lengo la kuwatoa wasanii chipukizi na kisimamia zao wenyewe.
Akiongea na mtandao huu, Nisha, alisema kuwa kundi hilo halitakuwa na wasanii wengine zaidi yao kwani wanahitaji kufanya [...]
MSANII wa filamu bongo, Johari, ameuambia mtandao wa DarTalk, kuwa filamu yao ya ‘Shortcut’, itakuwa sokoni mwishoni mwa mwezi huu.
Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Johari, alisema kuwa filamu hiyo ilipangwa kutolewa wiki iliyopita lakini kutokana na sababu mbalimbali walishindwa kufanyakama walivyopaga.
Alisema kuwa mbali na kuwepo kwake ndani ya filamu hiyo wengine waliocheza ni Hemed [...]
BAADA ya mikasa kibao msanii Wema Sepetu, amesema kuwa kwa sasa anaamua kutulia na kufanya kazi kwani katika harakati zote alizopitia hakuna hata moja ilimfanya aonekane mwame zaidi kumjichafulia jina lake.
Msanii huyo alidai kuwa watu wengi wamekuwa wakimuona muhuni na mara nyingine anapopita sehemu hujikuta akitolewa macho na watu.
Aliongeza kuwa kwa sasa haitaji kuonekana mara [...]
BAADA ya kutangazwa kuwa filamu ya ‘Respect Nyerere’, itazinduliwa kwenye hotel ya kifahari ya ‘Serena’, msanii Steve Nyerere, amebadilisha na sasa itazinduliwa kwenye viwanja vya Leaders Club Kinondoni mwezi April mwaka huu.
Filamu hiyo itaonesha mambo yote yaliyofanywa na Baba huyo wa Taifa katika kipindi cha utawala wake kwani kazi hiyo yote imechezwa nyumbani kwake Butiama.
Hata [...]
MREMBO anayetesa ndani ya bongo movie Jackline Pantezel, ameuambia mtandao wa DarTalk, kuwa hivi karibuni ataachia filamu yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Jini Tausi’, ambayo inasimamiwa na Kampuni mahiri ya PILI PILI Entertainment.
Akizungumzi filamu hiyo msanii huyo alisema kuwa kazi hiyo itakuwa na nguvu za za aina mbalimbali lakini kikubwa kitakachookoa maisha ya watu [...]
MSANII mahiri wa filamu Tanzania, Irene Uwoya, amesema kuwa tasnia ya filamu itakuja kupata heshima kubwa endapo wasanii wenyewe watajiheshima kupitia maisha yao pamoja na kazi wanazotoa.
Msanii huyo amepata sifa baada ya kushiriki katika filamu kadhaa hasa zile ambazo zinampa uwezo mkubwa wa kuonesha hisia za kimapenzi.
Akiongea na DarTalk, Uwoya alisema kuwa wasanii wanalilia heshima [...]
MSANII wa filamu ambaye kwa sasa amejikita zaidi kwenye muziki, Shilole (mkali wa mauno), amedai kuwa endapo kama atapata kazi nyingi za kufanya shoo anaweza kuachana na filamu kwa muda kwani tayari mashabiki wengi wameanza kujitokeza katika shoo zake.
Hayo aliyasema wakati akizungumza na DarTalk, juu ya maisha yake ya sanaa pamoja na mpangilio wake wa [...]
MSANII wa filamu bongo Rehema Fabian, baada ya kutaka kunywa sumu kwa lengo la kujiua, sasa amefunguka na kudai kuwa anafikilia kujitoa kwenye kila kitu kinachohusiana na sanaa kwani anahitaji kufanya ishu zake mwenyewe.
Fabian alizungumza na mtandao wa DarTalk, na kueleza ishu hiyo kwani anaamini ndiyo iliyosababisha hadi kufikia hatua ya kutaka kutoa uhai wake.
Alisema [...]
MSANII wa filamu bongo , Salma Jabu ‘Nisha’, ameumbia mtandao wa DarTalk, kuwa yupo mbioni kuachia kazi yake mpya inakwenda kwa jina la ‘Macho Yangu’ ambayo itakuwa na wasanii wengine kibao.
Nisha alisema kuwa ndani ya filamu hiyo yenye amecheza kama bubu, ambaye hawezi kuzungumza.
Wengine ni Flora Mvungi ambaye amecheza kama mtoto wa kishua ambaye kwao [...]