
MSANII wa filamu bongo, Aunty Fifii, amesema kuwa kazi yake ya ‘Queen Spear’, itaanza kuzinduliwa katika miji mikubwa barani Afrika na baada ya hapo watamalizia jijini Dar Es Salaa kutokana na ratiba yao ilivyopangwa.
Akizungumza na mtandao wa DarTalk, msanii huyo alisema, walipanga kuizindua filamu hiyo Dar Es Salaam pekee lakini kutokana na maombi ya rafiki zake walioko nje wameomba [...]
MSANII wenye vituko bongo movie, Baby Mahada, amesema kuwa malengo yake aliyojiwekea ni kuja kugombea ugunge anauwezo mkubwa wa kufanya kazi hiyo.
Akizungumza na mwandishi wa habari hivi, msanii huyo alisema kuwa hashindwi kuwatumikia wananchi hivyo baada ya miaka kadhaa atakuwa katika mchakato huo.
Alisema kuwa sababu kubwa inayomfanya kutaka kuchukua maamuzi hayo ni kutokana na vitendo vya baadhi [...]
MSANII wa filamu mwenye matukio ya kusisimua bongo, Rehema Fabian, amenusulika kufa baada ya kunywa dawa inayodaiwa kuwa ni sumu ya mende kwa kile alichodai kuwa amechoka kuandamwa na watu.
Tukio la kunywa dawa hiyo kwa msanii huyo lilitokea wiki iliyopita ambapo mwandishi wa habari hizi alishuhudia msanii huyo akiwa katika hali ngumu ingawa alikunywa maziwa na kutapika sumu yote.
Akizungumzia [...]
MSANII wa filamu bongo, Badra, amezungumza na DarTalk, na kusena kuwa kwa sasa yupo katika mchakato wa kuipeleka sokoni filamu yake ya ‘Time After Time‘.
Badra alisema kuwa filamu hiyo ameshirikishwa na Jackline Wolper, hivyo anaamini ujio wake utakiwa tishio kwa sababu inaandaliwa katika kiwango cha hali ya juu.
Alisema ukaribu alionao na Wolper ndiyo unaomfanya acheze katika filamu [...]
MWANADADA anayefanya vizuri ndani ya bongo movie, Jannifer Kyaka ‘Odama’, amesema kuwa anajitahidi kuukarabati mwili wake ili awe mrembo zaidi kwa ajili ya maandalizi ya filamu yake mpya ambayo bado hajaipa jina.
DarTalk, kupitia mmoja wa waandishi wake akutana na mrembo huyo, kwa ajili ya kuzungumza mambo juu ya urembo wake, ambapo alisema kuwa anafanya utaratibu wa kuongeza zaidi mvuto [...]
MSANII wa filamu bongo Jackline Pantezel, almaarufu kama ‘Jack wa Chuz’, amesema ubunifu aliyouonesha katika filamu ya ‘Queen Spear‘, ni wa hali ya juu hivyo anaamini itamsaidia kumtoa kimataifa.
Akizungumza na DarTalk, msanii huyo alisema kuwa filamu hiyo ni kati ya anazozitengemea katika kumtangaza zaidi kwani zina matukio mengi ya kusisimua amabyo yamebeba ujumbe za kutosha.
Alisema [...]
NYOTA ndani ya bongo movie, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, sasa ameweka wazi kuwa ndoa yake na mfanyabiashara wa mafuta wa mkoani Tanga, itafungwa mapema mwezi Julai mwaka huu, kutokana na mchakato unaoendelea kufanyika.
Mtandao huu ulilipoti habari ya kuchumbiwa kwa msanii huyo mkoani Tanga, lakini sasa kila kitu kimewekwa wazi na atakuwa ndani ndoa mwezi Julai.
Akizungumzia ishu hiyo Shilole, alisema kuwa [...]
MSANII wa filamu Sintah, amefunguka na kuwachana ukweli wao ukweli nyota wa fani hiyo kwa kusema kuwa wengi hawana elimu na ndiyo maana wanakosa nafasi za kufanya kazi na nyota kutoka nje ya nchi.
Kauli ya msanii huyo imekuja baada ya DarTalk, kuzungumza naye juu ya ishu za wasanii wengi kushindwa kufanya kazi na nyota wa nje ambapo tatozi [...]