MUSIC: AMA G – ALOLE

ama g alole

Ngoma mpya kabisa toka kwa Ama G anaewakilisha poa toka Rock City, amedai ngoma hii ni story ya kweli inayomhusu star wa Bongo Movie na muziki aliyeamua kuachana na kipenzi chake baada ya kujipatia umaarufu, mlengwa aliamua kuonana na Ama G na kumpa mkasa mzima na ndipo alipoamua kukaa chini na kuandika ngoma hii.

One comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*


*

You may use these HTML tags and attributes: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <strike> <strong>