*LONG WEEKEND IS HERE ONCE AGAIN*
*THIS EASTER FRIDAY, WE JUST GOT PAID SO LETS SPEND IT*
*SAME PLACE AND THE SAME TIME*
*THE BEAT DOWN @SYNERGY LOUNGE*
*DOORS OPEN AT 7PM BY SALSA DANCE THEN IS THE BEAT DOWN WITH DJ BIKE (RADIO ONE) & DJ SUMA*
*COVER – 10K *
*DIRECTIONS*
*FROM DSTV YOU TAKE A LEFT BY KCB BANK, THEN SKIP THE FIRST LEFT AND TAKE THE SECOND LEFT WHICH IS ZAMBIA THEN IMMEDIATE RIGHT (MKWAWA). WE ARE LOCATED 5 HOUSES ON YOUR RIGHT*
LANGA – AM SUPPLYING
Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.
The Shooting of the video took two days and was done in various locations in the city of Chicago. Look forward for the video to drop in several weeks to come. Weekend is a collaborative work put together by Reezon (Ghana) featuring Wakazi from Tanzania, and Chibbz from Nigeria. The Beat was produced by the super Producer Mobeatz who is also from Ghana.

Wakazi & The Girls.

Models

Day 1: Wakazi behind the scenes

Reezon

Day 1: Chibbz Performance

Director Brian and his Assistant


Day 1: Reezon Performance

Day 1: Wakazi Perfomance

Wakazi, Reezon & Chibbz

Day 2: at The Lounge

Day 2: The Gentlemen

Day 2: Afrikan Kings Dancers at The Club Scene

Day 2: Behind The Scenes

Day 2: Chibbz Club Performance

Wakazi and a Model

Wakazi & The Crew
MATONYA – SEMBULE
Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.
MWANAMITINDO anayefanya vizuri nchini Tanzania, Martin Kadinda, amesema kuwa tasnia ya mitindo sasa imekuwa na heshima kubwa tofauti na miaka kadhaa nyuma, ambapo wanaume waliokuwa wakifanya kazi hiyo walikuwa wakiitwa majina mabaya kama ’si rizki’ au ‘mtoto wa watu’, lakini sasa imekuwa ni ajira baada ya watu kuelewa kuwa ni kazi kama zilivyo nyingine.
Mwandishi wa DarTalk alizungumza na wanamitindo huyo kwa lengo la kujua utofauti uliopo sasa na miaka ya nyuma katika tasnia ya mitindo nchini, ambapo alisema “Tasnia hii naweza kusema sasa ni tofauti na miaka ya nyuma ambapo ilikuwa inaonekana hasa ni kazi ya wanawake, na endapo mwanaume ukionekana kujihusisha na mitindo basi utapewa majina mabaya, lakini sasa kama kwa upande wangu nimekuwa mtu tofauti kwani nimekuwa na heshima yangu kama mwanamitindo,”
Pamoja na hayo alisema kuwa hakuna kazi inayoweza kumpa mtu heshima endapo muhusika hatojiheshimu mwenyewe, kuipenda kazi yake na kuheshimu kile anachokifanya kwa kujua thamani yake na nini anachotakiwa kufanya.
Miss World Africa mwaka 2005 na Miss Tanzania mwaka huo huo, Nancy Sumari (pichani) jana alizindua Kitabu chake kiitwacho ‘Nyota Yako’, ambacho ni Kitabu cha simulizi inayohadithia mafanikio na uwezo wa wanawake tofauti wa Kitanzania wanaoonyesha jitihada na upekee unaolenga kumhamasisha mtoto wa kike kwenye jamii kutaka kuota ndoto kubwa na kudhubutu kuyafanikisha yale ayawazayo.
Mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa kitabu hiki cha ‘Nyota Yako’ alikua Profesa Esther Mwaikambo, ambaye alikua mwanamke wa Tanzania kuwa daktari, muanzilishi wa MEWATA na rais wa chama cha wanasayanzi Tanzania. Prof Mwaikambo pia ni daktari wa watoto katika hospitali ya Kairuki jijini Dar es salaam, na ni moja kati ya hadithi ya wanawake ambao hadithi zao zimesimuliwa kwenye kitabu.
Hafla hiyo ya Uzinduzi wa Kitabu hicho imefanyika jana jijini Dar es Salaam na kuhudhuliwa na baadhi ya wageni maalum waliofanikiwa kufika katika hafla hiyo ya uzinduzi ambao ni pamoja na Faraja Kotta Nyalandu, Fina Mango, Jacqueline Ntuyabaliwe, Sophia Byanaku, Jokate Mwegelo, Shamim Mwasha, Khadija Mwanamboka, na wadau wa habari pamoja na marafiki.

Nancy Sumari (kushoto) akiwa na Mgeni Rasmi katika hafla hiyo, Profesa Esther Mwaikambo wakionyesha kitabu hicho mara baada yakukizindua. Kati kati ni Mtoto wa Nancy Sumari.

Nancy Sumari akisaini moja ya kitabu kabla ya kumpatia Mwanafunzi.

Nancy Sumari akiwa na Jacqueline Ntuyebaliwe (shoto) pamoja na Faraja Kotta wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho.

Baadhi ya wanafunzi wakiwa wamepewa vitabu hivyo.

Nancy Sumari na Jokate Mwegelo. [habari, picha zote na michuzi]
SHILOLE FT HASANI VOCHA – PAKA LA BAR
Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.