18 March 2013

B.O.B CLICK & MICHARAZO – WAMEKAA

Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.

18 March 2013

PETER MSECHU – KUMBE

Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.

17 March 2013

JUMA NATURE FT TUNDAMAN – HAIPOTEI

Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.

17 March 2013

ANGERIS – BORA NIENDE

Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.

17 March 2013

MSANII wa filamu na muziki mwenye mvuto wa aina yake Snura Mushi ‘Snura’, ameamua kutoa la moyoni kwa madai kuwa sasa anatafuta mwanaume wa kuweza kufunga naye pingu za maisha lakini kwanza kabisa akubali kumpa muda mrefu wa kutafuta pesa ili asiwe tegemezi baada ya kuingia ndani ya ndoa hiyo.

Kauli ya msanii huyu imekuja mara baada ya mwandishi wa DarTalk kupiga naye story za hapa na pale ndipo alipounganisha ishu hiyo, kwa kudai kuwa si kwamba hataki kuolewa bali hataki kuishi ndani ya ndoa na kuwa tegemezi kwa mwanaume.

“Sitaki kuishi na mwanaume kabla hajakumbali kunipa muda wa mimi kutafuta pesa najua anaweza kuwa na uwezo wa kila kitu lakini hivyo vyote vitakuwa vya kwake na mimi natakiwa kuwa na mali zangu, lakini bila hivyo nitazeekea kwangu,” alisema.

17 March 2013

BAADA ya kuandamwa na skendo chafu, msanii wa filamu na tamthilia Rayuu, ameamua kuweka wazi kuwa kitendo hicho kimemfanya atofautiane na familia yake hasa wazazi, huku wakimtaka kuchukua hatua za haraka ili aweze kuachana na tabia hizo ambazo zinaweza kuichafulia jina familia.

Msanii huyo amekuwa akionekana kwenye picha kadhaa chafu ambazo zimekuwa zikimchafulia jina, akiongea na mwandishi wa DarTalk alisema kuwa zimemfanya hadi kutoelewana na familia yake kwani wanahisi ni muhuni kitu ambacho si kweli.

“Familia yangu imechukia sana kutokana na picha zangu ambazo sijui watu wanazipata wapi, naonekana muhuni mbele ya wazazi wangu wakati siko hivyo, kuna watu wana nia ya kunifanya niwe mbaya mbele ya wazazi wangu na watu wanaonizunguka nashindwa kuelewa wananitafutia nini,” alisema.

17 March 2013

MSANII anayezidi kujichukulia umaarufu ndani ya muziki wa kizazi kipya kutoka mkoani Kigoma, Linex almaarufu kama Sunday Mjeda, amesema kuwa baada ya ngoma yake ya ‘Mahakama ya Mapenzi’, ikiwa inafanya poa sokoni sasa yupo kwenye hatua za mwisho za kuachia video ya ngoma hiyo ambapo itakuwa hewani siku kadhaa zijazo baada ya kukamilika kwake.

SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!