
Rashid Shamte (pichani)
Mwanzilishi wa kampuni ya Push Mobile inayohusika na uuzaji wa miito ya simu, ringback tone (RBT) amesema Diamond ndiye msanii wa Bongo Flava anayeingiza fedha nyingi zaidi.
Shamte ametoa taarifa hiyo jana alipokuwa akizungumza kwenye kongamano la mchango wa technolojia ya habari na mawasiliano ICT kwenye tasnia ya muziki nchini katika kituo cha ubunifu wa technolojia hiyo cha KINU jijini Dar es Salaam.

Diamond Platnumz
“That boy is hot, you have no idea how much money he makes from RBT, I handle that account true story,” alisema Rashid. Alipoombwa ataje ni kiasi gani Diamond anaingiza kutokana kuuzwa kwa nyimbo zake, Rashid alisema, “lots… let’s just say he is happy.” Lakini Shamte alisema kama angekuwa na umaarufu kama Diamond alionao angeingiza fedha nyingi zaidi kuliko sasa.
“If I was hot like Diamond trust me I would be rich and I would not need to have anybody manage me or anything, I would put up a website, I would put snippets of all of my tracks because I can’t really make any money from radio, I would dump a bunch of songs onto radio, I will make sure you can stream a little bit of it but if you want all of it, I will make you pay me 200 using M-Pesa, if you want to download it I will make you pay me a hundred using M-Pesa.”
JCB & STEPH WATERS – HAMNA SHIDA
Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.
SHAA – BABA KODI
Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.
The Beat is a monthly festival showcasing the best live music from Tanzania and abroad. The festival is hosted by Mzungu Kichaa and features some of the best local and international talent passing through Tanzania.
Triniti (www.triniti.co.tz) provides a relaxed ambience to enjoy good music taking you far away from the cities hustle and bustle, and yet it is still very central.
Entrance is only 10k at the door.
Powered by Caravan Records, Radio France International (kiswahili) and Goethe – Institut Tanzania.
Jina lake halisi ni Latipher Mkuu, si maarufu sana machoni pa watu lakini ni mahiri sana katika kazi, kama ulivyo mvuto wa umbile lake ndivyo alivyo na mvuto katika kazi ya sanaa ya uigizaji. Kipaji chake kimedhihirika hivi karibuni baada ya kupata fursa ya kushiriki katika filamu ya ‘World Of Benefit’ ambayo ipo katika hatua ya editing ikisubiri kuingizwa sokoni.
Licha ya ushiriki wake wa scene chache ndani ya filamu hiyo lakini Latipher ameweza kuonesha kipaji cha hali ya juu akiwa sambamaba na mkongwe Rose Ndauka.

Latipher katika pozi
Akizungumzia umakini wake katika kazi Latipher amesema hivi, “Awali, sikuwa na uzoefu mkubwa katika mambo ya uigizaji, lakini baada ya kukaa kambini kwa siku kadhaa na kupata mafunzo ya kutosha kutoka kwa wasanii wakongwe nilijikuta nikiingiwa na ujasiri, papo hapo nilianza kujituma na kufanya mazoezi bila kuchoka, nafurahi kuona nilichokipigania kimefanikiwa, nitaendelea kujifunza zaidi ya hapa ili baadae niwe muigizaji bora kabisa wa filamu.”
Washiriki wengine aliokutana nao Latipher katika filamu hiyo ni pampja na Mzee Chilo, Hemed Suleiman, Awadh Saleh, Mama Mjata, Timbulo, Peter, Tutti, Miriam na Natalia.
LADY JAY DEE FT PROFESSOR JAY – JOTO, HASIRA
Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.
PRODUCER MBEZI FT. MR BLUE, BANANA ZORRO, PETER MSECHU, DOGO SHEBBY, CHIDI BEENZ, KALA JEREMIAH & DULLY SYKES – MANENO
Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.