13 November 2012

NIKKI WA PILI, G NAKO, JOH MAKINI – NIACHE KIDOGO

Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.

13 November 2012

WAKATI watanzania wengi wakiamini kuwa msanii Ney Wa Mitego, yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanadada wa kwenye tasnia ya filamu Salma Jabu ’Nisha’, mkali huyo wa ngoma ya ‘Wamenichokoza’, amekanusha uwepo wake kwenye mahusiano na mwanamke yeyote na kudai kuwa kwa sasa ana marafiki tu wa kike wa kubadilishana mawazo na si wapenzi au mpenzi kama watu wanavyodai.

Hata hivyo kauli ya msanii huyo inaweza kuzua utata mkubwa kwani mashabiki wake wengi wanajua kuwa mpenzi wake ni mwanadada huyo wa bongo movie ingawa tangu kutoka kwa habari hizo hakuwahi kuzungumza lolote juu ya mahusiano hayo kama ni kweli.

“Hapana kwa sasa sina mpenzi, nimeshatoka na wanawake kadhaa hilo lipo wazi lakini kwa sasa natafuta yule mpenzi mwenye tabia njema,” alisema.

13 November 2012

Its here..! The FIRST POOL PARTY in UDSM(Chuo Kikuu). This SUNDAY 18th, from 12pm till LATE!… BBQ by the grill masters T-BONAZ … Cocktails & beer by the cocktail maestros LIQUID LAB Music by Str8 Up Vibez DeeJayz (Boss sOund) !!!!
Ps: ts Free Entry!!!

11 November 2012

KARAOKE NITES every wednesday at Mbalamwezi Beach starting from 7PM.

Entrance is freeeee all sponsored by G5 Click,We just wanna have fun !! Come and feel the GOOD music….

10 November 2012

CPWAA FT THE ARTIST, GODZILLA, ONE, LORD EYES & MABESTEMISSION 12 O’CLOCK

Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.



CPWAA FT ANTO’NEYO (THE ARTIST) - MAMBO

Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.



The most-long awaited songs, have been officially released today ‘ONLINE’ and will be available in all Radio stations and Clubs by Monday next week.Videos..coming soon. Enjoy them and feel free to share and download.

LINKS:

http://soundcloud.com/cpwaa-thesupreme/mission-12-oclock-cpwaa-ft

http://soundcloud.com/cpwaa-thesupreme/mambo-cpwaa-ft-antoneyo-the-1

10 November 2012

Mshiriki wa Bongo Star Search (EBSS) 2012, Walter Chilambo ameibuka mshindi wa mashindano hayo na kujinyakulia kitita cha Shilingi za kitanzania milioni hamsini (50,000,000/-) kutoka kwa wadhamini wakuu, kampuni ya simu ya Zantel Tanzania. Mshindi wa pili ni Salma Yusuf na wa tatu ni Wababa Mtuka.

09 November 2012

Featuring Tz’s TOP DJ’s on steels .. expect sound that’s gonna blow your mind away, Pushkin vodka wil b providing the smoothest cocktails while Julio (BBA) debuts his 1st single in Tanzania .. Ts just a Maaaaadt niteeee 2 mis owt!!! lets do ths …

Sniper Mantana

09 November 2012

MSANII wa muziki wa kizazi kipya Suma Mnazaleti, ameuambia mtandao wa DarTalk kuwa baada ya ngoma yeke ya ‘Chukua Time’, kufanya vzuri sasa anatarajia kuachia track mpya inachokwenda kwa jina la ‘Asante’, ambayo amefanya na msanii kutoka nchini Nigeria anayefahamika kwa jina Dan Joh ambaye pia ni ya producer anayeipika ngoma hiyo.

Suma alisema kuwa kujuana na msanii huyo kulikuja wakati alipokuwa Nairobi Kenya, ambapo alitaka kufanya ngoma moja kali ndipo alipoambiwa kuwa kuna jamaa mkali yupo Nigeria anaweza kusimama vizuri, na baada ya hapo wakafanya mazungumzo na huyo jamaa, baada ya makubaliano wakamtumia beat ili aingize Chorus.

Alisema kuwa kuvuka kwake mipaka na kwenda hadi Nigeria anaamini kunaweza kufungua ukarasa mzuri wa yeye kufika mbali kwani, urafiki wake na msanii huyo hautaishia kwenye ngoma moja pekee bali wataendelea kufanya kazi nyingine kibao.

Alisema kuwa hata hivyo kibao hicho kitakuwa funika mbaya kwani mashairi yanayopatikana ndani ya ngoma hiyo ni yale yenye ujumbe mzito, ambapo aliwataka mashabiki wake kukaa mkao wa kula ili waweze kupata kitu kingine kitakachowafanya wapate burudani zaidi.

SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!