“BLANDINA” AWATAKA WASANII WAACHE KUOLEWA KWA KUKURUPUKA…!!

“BLANDINA” AWATAKA WASANII WAACHE KUOLEWA KWA KUKURUPUKA…!!

MWIGIZAJI wa kike Witness Lunyungu ‘Brandina’ aliyetamba sana na filamu ya ‘The Game’ na kuwa maarufu amewaasa wasanii wenzake wa filamu kutokimbilia kuolewa na wanaume wasiowapenda sana kwani ni rahisi kupoteza vipaji vyao sambamba na ajira ya uigizaji. Blandina anadai kwamba hata yeye alikumbwa ...

Read More »
LIST YA WASHINDI WA TUZO ZA FILAMU ZA STEPS ENTERTAINMENT…!!

LIST YA WASHINDI WA TUZO ZA FILAMU ZA STEPS ENTERTAINMENT…!!

Yafuatayo ni majina ya washindi wa tuzo za filamu kwa mwaka 2012/13 toka kampuni ya Steps Entertainment zilizofanyika juzi usiku kwenye ukumbi wa hoteli ya Blue Pearl iliyopo ubungo jijini Dar es Salaam. Katika tuzo hizi marehemu Steven Kanumba aling’ara kwa kupata tuzo nyingi kuliko waigizaji ...

Read More »
MECHI YA IVORY COAST VS TAIFA STARS YAINGIZA MIL 500…!!

MECHI YA IVORY COAST VS TAIFA STARS YAINGIZA MIL 500…!!

Mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia, Kundi C, Kanda ya Afrika kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Ivory Coast (The Elephants) iliyochezwa jana (Juni 16 mwaka huu) imeingiza sh. 502,131,000 kutokana na watazamaji 57,203. Tiketi za kushuhudia mechi hiyo ziliuzwa kwa sh. 5,000, ...

Read More »