
Katika kuonesha kwamba bado ana kiu ya kuona sanaa yake inapanuka na kuvuma mbali huku akiboresha maisha yake, kukuza kipato na kuongeza ufanisi , msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini H. Baba ameamua kujikita katika biashara kwa style ya kipekee kwa kuingiza sokoni bidhaa aina ya pipi zenye jina, picha na chata zake, pipi zinazojulikana kwa jina la “H. Baba & Flora Mapenzi Kwa Watoto”.

Pipi hizo zilizopambwa kwa picha ya H. Baba katika karatasi ya kuishika pipi, zikipambwa na mfuko wa nylon wenye uzito wa gram 250 ulio na picha ya mwanamuziki H. Baba na mwigizaji wa Bongo movie Flora Mvungi na zinazotengenezwa na kampuni ya Tanfrik Limited ya Nairobi nchini Kenya, tayari zimeanza kuuzwa kwenye baadhi ya maduka na vibanda mbalimbali vya biashara kanda ya ziwa.

FID-Q FT BI. KIDUDE – JUHUDU ZA WASIOJIWEZA
Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.
ALONEYM – R.I.P BI KIDUDE
Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.
The search for the next Miss Tanzania is already here and underway. BHitz group in collaboration with Times FM will bring to you Redd’s Miss Dar Indian Ocean 2013 on the 30th of April at the National Museum. 15beauty contestants will compete for one of the most coveted crowns in the country that would pave the road to Miss Tanzania 2013.
Miss Dar Indian Ocean has produced the likes of Miss World Africa 2005, Nancy Sumari, Wema Sepetu, Richa Adhia, all whom have progressed to clinch the Miss Tanzania title in 2005, 2006 and 2007 respectively. Will we find our next National Beauty Queen from Miss Dar Indian Ocean.
In this Miss Tanzania preliminary event, 5 judges will judge the contestants against each other and only the top 5 girls will go through to compete in Miss Kinondoni. The contestants for this years pageant are: Grace Paul, Lilian Samson Lungwa, Khadija R. Zandaro, Queen J. Mahwera, MaryamHasheemMohamedy, Flora Juma, Natasha M. Kassu, Dolphine M. Chiganga, Fatma A.Machenga, Lucy Tomeka and Sophia Yusuph.
This pageant is being brought to you by B’Hits Media group Ltd in affiliation with Redds Original, Times Fm, Abyssinia Spa, Nyumbani lounge, Club Bilcanas , RnV Media, DjChoka, Global Publishers, Hugo Domingo and the National Museum.

Msanii mkongwe wa muziki wa taarab nchini, Fatuma binti Baraka ‘Bi. Kidude’ amefariki dunia leo hukovisiwani Zanzibar. R.I.P Bi Kidude.
Lets Boogie ths Friday @ Ambassadors Lounge – JB Belmont Hotel !!! Guest DJ Trash from A town on the wheels , Usual suspects DJ Steve B n DJ BUlla on dex !!!! starts @ 9pm til mama calls !!! be thereeeee ..